Miss Madeko
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 4,364
- 5,609
Kwani saa hizi ni saa ngapi?Mbona sioni wana CHADEMA hapa Airport?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani saa hizi ni saa ngapi?Mbona sioni wana CHADEMA hapa Airport?
Kubwa tu.Kuna tofauti yoyote?
Tafadhali wewe kama kusoma hujui usije katika jukwaa hapa yaani TLS unaona ndio Tanzania ...acha ufala basi.Karibu Rais wa Tz ndugu lissu
Kwa nini hawamtaki Lissu ?Au pesa za Nyalandu zinawazuzua ?Lisu ajihadhari sana na Mbowe, Lema, Halima Mdee na Ester Bulaya, hawa ndio walimpigia kura ya HAPANA hafai kuwa mgombea urais,wanamtaka Nyalandu, ujio wake umewakasirisha wanaweza kumdhuru, asipokee maji ya kunywa, chakula wala kushikana nao mikono
Mambo ya kutiliana sumu yapo CCM, angalia ya Mangula na Mwakyembe!Lisu ajihadhari sana na Mbowe, Lema, Halima Mdee na Ester Bulaya, hawa ndio walimpigia kura ya HAPANA hafai kuwa mgombea urais,wanamtaka Nyalandu, ujio wake umewakasirisha wanaweza kumdhuru, asipokee maji ya kunywa, chakula wala kushikana nao mikono
Ati kaomba msaada unajua maana ya Taasisi ya Rais we kapuku ..unadhani yule dosti wenu kuna ata sisimizi anamstua CHADOMO kwa vituko bhana umnastahili pongezi.Kamwambie babu yenu jiwe aache ufalas anaogopa nini mpaka kaomba msaada wa polisi?
Hao ni kama kuni na vidole mkuu. Vidole vinasogeza/vinasukuma kuni kuingia kwenye mafiga/jiko ili kuni ziteketee lakini kamwe vidole havigusi moto.Mapokezi ya mitandaoni.
Mbowe amewasili hapo uwanjani?
Au ndiyo mnataka kututumia sisi akina kajamba nani ili tukung'utwe na wazee wa vibaka vyekundi ili kutangaza jina la chama
Mwambieni babu yenu aache kuteseka Lissu lazima apokelewe kwa namna yoyote ile Sawa mjumbe?Ati kaomba msaada unajua maana ya Taasisi ya Rais we kapuku ..unadhani yule dosti wenu kuna ata sisimizi anamstua CHADOMO kwa vituko bhana umnastahili pongezi.