Volatility
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 3,935
- 7,513
It has been a fair bargain, Mkapa to go for Lissu to come.Wakati JNIA watu wakiwa kwenye shangwe kubwa View attachment 1518511
Huku upande wa pili hali iko hiviπππππππ
View attachment 1518512
Jiwe anawapenda wangese kama wewe jipendekeze kwa huyo mla tigo wenu upate uteuzi. Ameshachoka tigo za makondakta zimelegea sana! mpelekee uungane na yule wa CCRNKimbia kamanda ukawahi kupakatwa na Makaveli utakosa kuweka rekodi ohoooo... usisahau na selfie wakati anakupakata
Serikali na watz wameamua kuwapa chadema wimbo wanaoupenda,kutoguswa na polisi wala mamlaka.Kwa kweli hili nyomi ni la kawaida sana. Kwa haraka haraka unaweza hisi anaepokelewa ni anae kuja kum replace Luc Eymael sio anaekuja kugombea urais wa nchi
Tuliza boli kamanda.hujafa hujaumbika ila nakukumbusha magu alisema muache kujipendekeza
Wewe mwenyewe ni lofa siku ya kupiga kura hutakuwepo utakuwa umekufa kwa Corona ilyomuua babu yako kwa kafara la cyprian Musiba na Bashite
Na sasa kawa mzururajiBashite ndo alikuwa anaiharibu dar aliona kama ndo aridhi halali ya babu yake
Huu ndio utofauti wa watu na nyumbu.Wakati JNIA watu wakiwa kwenye shangwe kubwa View attachment 1518511
Huku upande wa pili hali iko hivi[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
View attachment 1518512
Camera za CIA FBI Scotland Yard zote zilikuwa uwanja wa Ndege kuchunguza kila hatuaWamebana wameachia dadeki
Umeonaee na ambavyo wengi wamevaa safe nyekundu Kama za Simba kwa kweli anayepomelewa hapa so mgombea urais Bali ni kocha wa mpya wa YangaKwa kweli hili nyomi ni la kawaida sana. Kwa haraka haraka unaweza hisi anaepokelewa ni anae kuja kum replace Luc Eymael sio anaekuja kugombea urais wa nchi
Wakati JNIA watu wakiwa kwenye shangwe kubwa View attachment 1518511
Huku upande wa pili hali iko hivi[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
View attachment 1518512
Corona kitu gani wewe tunapiga tangawizi na kujifukiza tu,umelishwa minyoo na beberu Lissu anatuletea Corona.Wewe mwenyewe ni lofa siku ya kupiga kura hutakuwepo utakuwa umekufa kwa Corona ilyomuua babu yako kwa kafara la cyprian Musiba na Bashite
try once more..Artificial Intelligence?
Mmebadili sentensi mara hii?
Kesho tunakuja kuujaza huo uwanja kidogo upate mvuto maana mko wenyewe na hapo ndio muamini Lissu ni kipenz cha watanzania na upinzani upo moyoni
Polisi wamewapuuza, mjichape bakora wenyewe sasa na mjipeleke central wenyewe. Hapewi kiki mtu yeyote hapa..mlitegemea polisi wanase ktk mtego wenu, imebumaaaaa....nna tumeamua lisu hashikwi ila wadhamini wake ndio watamgombania kama mpira wa kona..Naona sindano imekuingia vya kutosha sasa jasho linakutoka utadhani ulikuwa unajifukiza