Uwanja wa Ndege Dar: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu - Julai 27, 2020
Kimbia kamanda ukawahi kupakatwa na Makaveli utakosa kuweka rekodi ohoooo... usisahau na selfie wakati anakupakata
Jiwe anawapenda wangese kama wewe jipendekeze kwa huyo mla tigo wenu upate uteuzi. Ameshachoka tigo za makondakta zimelegea sana! mpelekee uungane na yule wa CCRN
 
Daaa we mshikaji una kisima cha maneno
Wewe mwenyewe ni lofa siku ya kupiga kura hutakuwepo utakuwa umekufa kwa Corona ilyomuua babu yako kwa kafara la cyprian Musiba na Bashite
 
Kwa kweli hili nyomi ni la kawaida sana. Kwa haraka haraka unaweza hisi anaepokelewa ni anae kuja kum replace Luc Eymael sio anaekuja kugombea urais wa nchi
Umeonaee na ambavyo wengi wamevaa safe nyekundu Kama za Simba kwa kweli anayepomelewa hapa so mgombea urais Bali ni kocha wa mpya wa Yanga
1595850501024.jpg
 
Wewe mwenyewe ni lofa siku ya kupiga kura hutakuwepo utakuwa umekufa kwa Corona ilyomuua babu yako kwa kafara la cyprian Musiba na Bashite
Corona kitu gani wewe tunapiga tangawizi na kujifukiza tu,umelishwa minyoo na beberu Lissu anatuletea Corona.
 
Kesho tunakuja kuujaza huo uwanja kidogo upate mvuto maana mko wenyewe na hapo ndio muamini Lissu ni kipenz cha watanzania na upinzani upo moyoni

Kuna siku mutatu.. mukwende ni Raisi wetu wote..
Kumbuka batu banapita banaondoka.. habakitangaza batu balale uwanjani.. 😃😃😃

Leo munalia.. mumebashushuka.. 😃😃😃
Awamu ya Tano ina tupa muhaki sana..
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Good! Impartilaity. Hivi ndivyo polisi wetu wanapaswa kutenda. Hongera sana kwa wote. Hongera pia kwa Rais kwa kuonesha uungwana na ustahimilivu. So far!
 
Naona sindano imekuingia vya kutosha sasa jasho linakutoka utadhani ulikuwa unajifukiza
Polisi wamewapuuza, mjichape bakora wenyewe sasa na mjipeleke central wenyewe. Hapewi kiki mtu yeyote hapa..mlitegemea polisi wanase ktk mtego wenu, imebumaaaaa....nna tumeamua lisu hashikwi ila wadhamini wake ndio watamgombania kama mpira wa kona..
 
Back
Top Bottom