Makamanda kama kawaida yetu kesho tutaenda pamoja na rais wetu mtarajiwa kuujaza uwanja wa taifa.

Tutaenda muwaonyesha Mataga kua Lissu ana watu.
 
Baada ya mumeo Bashite kufurushwa toka dsm naona unawaya waya tu

Simujuhi umebumtaja..
Turudi ku leo.. πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Umeshakulia.. kujaza ndoo?

Mumeshushuka.. mutamukaa musubiri.. tukio tena.. mupo hoi kwa buleo.. ila πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Awamu hii ya haki oyeeeeeeeee
 
Angalau umekiri kuna nyomi, wenzako walikuwa wanasema Chadema huwa wanaandamana mitandaoni tu.
 
Zile kura milioni sita walipiga hao hao malofa malofa wana muda mwingi sana kuliko ma boss na ndio wapiga kura,
Malofa ya mwaka huu yameamka,yamechoshwa na chama cha walevi na wazinzi na udikteta wa mwenyekiti wao na yatakuwa busy kutimiza kauli ya Mheshimiwa JPM ya hapa kazi2.
 
Mkuu, LISU hana madhara kwa sasa. Tumeshamzingira kila kona. CHADEMA kwa sasa imeshapoteza mvuto wa kisia
Ilishakufa au ilishapoteza mvuto? Maana mlisema 2020 itakuwa imefutika. You keep changing your statements like lunatics.
 
🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣

Mbavu zangu mieee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…