Uwanja wa Ndege Dar: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu - Julai 27, 2020
Yaani sisi tuko Uwanja wa Taifa, tunaomboleza, alafu wengine wanasherehekea kumpokea Lissu, hii sio sawa, CDM wanaharibu msiba wa Taifa kabisa, i wish i could be IGP.. 😅😅😅 ingekuwa story nyingine saa hz..😅
 
Ccm Wana misiba miwili mpaka sasa:

1. Kifo Cha mkapa
3. Ujio wa Nabii TUNDU LISSU
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa furaha niliyonayo leo lazima ninywe divai.
 
nashauri mheshimiwa ben azikwe leo. leo
hamna maana ya kumchoma jua wakati watu wa na shangwe sehemu
 
Ed7nRNcWkAAkZDF.jpg
 
Makamanda kama kawaida yetu kesho tutaenda pamoja na rais wetu mtarajiwa kuujaza uwanja wa taifa.

Tutaenda muwaonyesha Mataga kua Lissu ana watu.
Msipokuwa makini mkaleta bangi zenu,ataingia lissu peke yake.mlikuwa wapi kuaga leo!!!!kwani kwa lissu si mmenda saa 8??
 
Back
Top Bottom