mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
Thubutuuu,lissu akifika ofisini biashara inaishia hapo.Huu uzi unatiririka
Unaweza piku ule wa kula kimasihara @rickboy
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thubutuuu,lissu akifika ofisini biashara inaishia hapo.Huu uzi unatiririka
Unaweza piku ule wa kula kimasihara @rickboy
Sijui hawaoni Mambo ya Sgr,Stigler's,ajira mil 6,ma flyover.Asanteeee ila watu wamechoka aiseee wana roho ngumuuuu kaaah wengi hivi[emoji28]
Na hiko ndicho kinachomuuma Meko yaani watu ni sawa Ila sio kwa wingi huu halafu na bado walionywa
Unazidi kuwehuka kisa Bashite kukataliwa na wana dsm
Kuna jamaa hapa nimemjulisha kuwa TL keshatua, amebubujika machozi hadharani!
Umelia peke yako, na tuonyeshe hizo picha za watanzania wakilia!!Mkuu hapa uwanja wa ndege watu wanabubujikwa na machozi.
1:Kumuona mtu aliye pigwa risasi zaidi ya 16 kama tembo mharibifu wa mazao akirudi anatembea kwa miguu yake mwenyewe.
2:Jinsi wana nchi walivyo amua kujitokeza kwenda kumpokea kiongozi wao bila ya kuogopa mikwara ya polis hapo jana.
3: Hata baada ya miaka 5 ya kupigwa stop ya kutokutana kwa shughuli za kisiasa lkn bado watu wapo na mapenzi makubwa sana na cdm.
Hili jambo limewaliza sana watanzania.
hahahahahahahahahaMbavu zangu mieee
Nasikia leo uwanjani watu hata 50 hawafiki na mbaya zaidi ni waliovaa nguo za mbogambogaMimi bado kusubiri.. unipe nione kulaivu..
Mbowe kuwapi?
Kabisa mkuuNadhani maisha yamekuwa magumu mnoo, hii ndio sbb, ukweli tuseme tu
Yaani sisi tuko Uwanja wa Taifa, tunaomboleza, alafu wengine wanasherehekea kumpokea Lissu, hii sio sawa, CDM wanaharibu msiba wa Taifa kabisa, i wish i could be IGP.. [emoji28][emoji28][emoji28] ingekuwa story nyingine saa hz..[emoji28]
Hiyo ni nyomi ya kawaida sana kwa standard za Tanzania.Angalau umekiri kuna nyomi, wenzako walikuwa wanasema Chadema huwa wanaandamana mitandaoni tu.
Maskini unatia huruma kwa kujibalaguza Kama kahaba aliyekosa hela
Huyu jamaa bado anakulaza na viatu licha ya kuwa sio rc. Dah, sijui alikupa limbwata...
walikuwa wafe wao, mimi pekee na team ya ulinzi tulikuwa tuwalaze chini siyo chini ya 20, kuanzia kiongozi wao mkubwa mpaka kuruta wa chini asiye na cheokama polisi wangeingilia basi leo wangekufa maelfu ya watu!
Minyoo nipo tumboni mwako nimekutia njaa maradhi ya Akili huwezi kunywa tangawizi utakufa kwa Corona tu huku ukiimba Beberu utazani wewe ni mbuzi jike.Corona kitu gani wewe tunapiga tangawizi na kujifukiza tu,umelishwa minyoo na beberu Lissu anatuletea Corona.
Waliowahi siti za mbele kina juakali, Nassari kwa kudanganywa na jiwe eti atauwa upinzani wamekufa waoPumzi ya Chadema ni kubwa sana asikudanganye yoyote yule eti Chadema imekufa.
Na hiko ndicho kinachomuuma Meko yaani watu ni sawa Ila sio kwa wingi huu halafu na bado walionywa