Mabibi na mabwana moja kwa moja kwenye mada.
Kwa hakika ujio wa Tundu Lissu pamoja na machungu ya msiba tuliyomo, limekuwa jambo la faraja kubwa. Kama nchi kwa Mara nyingine machoni kwa wote tumejijengea heshima kubwa sana.
Kwa hakika washindi ni sisi sote pasipo na kumtaja yeyote katika hili.
Kwetu sisi wote, huu uwe muda wa kuganga yajayo, wandugu yaliyopita si ndwele.
Tujenge nchi yetu katika misingi ya haki na kuvumiliana.
Walisema waswahili ndugu wawili wakigombana chukua jembe ukalime. Siku wakipatana chukua kapu ukavune.
Nchi hii ni yetu sote.
Kama babu Sea alikaribushwa Ikulu, mheshimiwa kumkaribisha Lissu na hata kumjulia hali kutakuwa ni jambo la afya mno.
Kama watanzania tunaweza kuiweka Tanzania mbele kwa vitendo.
Alaaniwe mwenye nia ya kututenganisha!
Mungu ibariki Tanzania.