cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Tuanze na mkusanyiko wa wale wajumbe[emoji38][emoji38]Corona imepungua, ila hawa CDM supporters wengi hivi si wanaweza ongeza kasi kubwa ya maambukizi, nadhani mashtaka yatajengwa on that basis.. [emoji28][emoji28]
Hutaki kunywa sumu tu
Ungethubutu kuwaua uone kwani wananchi nao walikuwa na bastora zao wangekufyekelea mbali kisha viongozi wako wote wanapelekwa mahakama za uhalifu The Haguewalikuwa wafe wao, mimi pekee na team ya ulinzi tulikuwa tuwalaze chini siyo chini ya 20, kuanzia kiongozi wao mkubwa mpaka kuruta wa chini asiye na cheo
ni kweli kabisa ,walikuwa wafe wao, mimi pekee na team ya ulinzi tulikuwa tuwalaze chini siyo chini ya 20, kuanzia kiongozi wao mkubwa mpaka kuruta wa chini asiye na cheo
Ongeza sauti mkuu
Tuko pamoja katika huo msimamo
Mimi toka mwanzo nilisema wamuache arudi kwa amani ni kwao hapa
Wamuache wasimbugudhi afanye kampeni
Wamuache apigiwe kura
Ila kuwa Rais wa Tanzania ni swala jingine ambalo kwa viashiria vyote 2020 hii haiwezekani.
Tutarudi hapa November
Hii bila taarifa wala uhamasishaji plus mikwara ya polisi!Hii nyomi ni hatari
Na policcm nawao wangelikufa.kama polisi wangeingilia basi leo wangekufa maelfu ya watu!
Stupid writer [emoji35]
Mungu ni mwema sanaMkuu hapa uwanja wa ndege watu wanabubujikwa na machozi.
1:Kumuona mtu aliye pigwa risasi zaidi ya 16 kama tembo mharibifu wa mazao akirudi anatembea kwa miguu yake mwenyewe.
2:Jinsi wana nchi walivyo amua kujitokeza kwenda kumpokea kiongozi wao bila ya kuogopa mikwara ya polis hapo jana.
3: Hata baada ya miaka 5 ya kupigwa stop ya kutokutana kwa shughuli za kisiasa lkn bado watu wapo na mapenzi makubwa sana na cdm.
Hili jambo limewaliza sana watanzania.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
ila nakuhakikishia Bashite angekuwa bado RC lazima angezuia hii halaiki, huko alipojificha muda huu roho inamuuma vby!.Leo kwa mara ya kwanza najikuta nikiwapenda Polisi wa Tanzania. Wamekuwa na upendo na busara. Hongera mkuu wa mkoa na kamanda Mambosasa.