Uwanja wa Ndege Dar: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu - Julai 27, 2020
Hutaki kunywa sumu tu

Lazima viongozi wa Chadema tuwashtaki, sbb za msingi zipo, hii ni kadhia kabisa😅 yaani tuko msibani nyie mnasherehekea kurudi Lissu.. Ngoja mtaona
 
walikuwa wafe wao, mimi pekee na team ya ulinzi tulikuwa tuwalaze chini siyo chini ya 20, kuanzia kiongozi wao mkubwa mpaka kuruta wa chini asiye na cheo
Ungethubutu kuwaua uone kwani wananchi nao walikuwa na bastora zao wangekufyekelea mbali kisha viongozi wako wote wanapelekwa mahakama za uhalifu The Hague
 
Ongeza sauti mkuu

Tuko pamoja katika huo msimamo

Mimi toka mwanzo nilisema wamuache arudi kwa amani ni kwao hapa

Wamuache wasimbugudhi afanye kampeni

Wamuache apigiwe kura

Ila kuwa Rais wa Tanzania ni swala jingine ambalo kwa viashiria vyote 2020 hii haiwezekani.

Tutarudi hapa November

Kwa fikira za kibanadamu hasa wanaoamini nguvu ya mfumo ni kweli ni ngumu sana ama haiwezekani.

Ila kwa mkono wa Mungu linawezekana asubuhi na mapema sana.

CCM chama changu damu damu, ila nikiimbiwa "tatu bila tatu bila" poa tu.
 
Mkuu hapa uwanja wa ndege watu wanabubujikwa na machozi.

1:Kumuona mtu aliye pigwa risasi zaidi ya 16 kama tembo mharibifu wa mazao akirudi anatembea kwa miguu yake mwenyewe.

2:Jinsi wana nchi walivyo amua kujitokeza kwenda kumpokea kiongozi wao bila ya kuogopa mikwara ya polis hapo jana.

3: Hata baada ya miaka 5 ya kupigwa stop ya kutokutana kwa shughuli za kisiasa lkn bado watu wapo na mapenzi makubwa sana na cdm.

Hili jambo limewaliza sana watanzania.
Mungu ni mwema sana
 
Tuanze na mkusanyiko wa wale wajumbe[emoji38][emoji38]

Haaaa hawa hapa


IMG-20200727-WA0010.jpg
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom