Hii inaitwa mchawi mpe mwanao akulelee.

Polisi,serikali leo nimewavulia kofia trick mliyocheza na hawa mabwana.
Uliuona ule mkwara wa Robert Amsterdam? Nani atathubutu.
Hii ndio ccm bhana kula na kipofu,!

Sasa hapa tayari mabeberu wenu wameona kumbe tz kuna democrasia ya hali ya juu
Pole sana ulisema chadema wanaandamana mitandaoni, next time uwe na akili.
 
Na wewe umeshagangilia airport kumshuhudia Rais TL. Hongera sana huo ndio uzalendo.
 
Kama lisu angelikuwa Muislamu, Siku hizi tatu Muhimu sana kwa ibada na Maombi, Ningemshauri kufunga akeshe na kuomba,
Alitakalo atapewa ,
Lakini wacha nimuombee mimi ikiwa Mungu hili la Lisu likatika mapenzi yake na Kunikubali mimi kwa Udhaifu nilionao
 
Mungu amlnde TL na abariki safari yake ya kugombea urais.
Tena amualike ikulu wamywe chai pamoja kuzika tofauti hyo kitu itamjengea magufuli heshima maradufu na kufuta minong'ong'ono ya watu na atarudisha Imani kwa Raia wote wenye itikadi tofauti tofauti, jk alikuwa anawa Minya upinzani Ila kuwaita ikulu kukaa meza moja kizushi kulimjengea heshima mpaka Leo watu wanamkumbuka.
 
nawasalimu katika jina la Ed Kawiche

sijawahi kushuhudia kundi la watu wanafki km hawa ma'ccm! hivi inakuaje mikwara inakuwa mingi mpaka sasa tunawaona mmekuwa paka watu?

kelele za kusema mh Tundu akifika tu mnamkamata na ataisoma namba ziko wapi sasa?
mara mh Tundu ni msaliti wa taifa na haina budi kufa... mbona mmekuwa kimya hv?

leo nimeamini ni kundi la watu wachache (ccm) ndyo mnaotisha wananchi wa nchi takatifu na yenye amani Tanzania.

utaifa kwanza acheni kutuchimba mikwara watanzania tunaolitakia mema taifa letu teule Tanzania.
Mungu ibariki Tanzania na watu wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…