Uwanja wa Ndege Dar: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu - Julai 27, 2020
Polisi mlichofanya leo ninawasifu. Mkifanya hivi kila siku hakuatakuwa na uvunjivu wa amani kabisa. Asante My President Dr Magufuli kwa kuwaagiza polisi wako watii sheria na katiba ya nchi. Ukiendelea hivi Raisi wangu kwa kuwaheshimu wapinzani Kura yangu nitakupa mchana kweupe maana ninajua wapinzani bado hawajakaa sawa kuchukua nchi. Tunachopenda ni amani na kutii katiba ya nchi. Leo nimefurahi sana kwa haya yanayofanyika bila bughuthi.
 
Back
Top Bottom