Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uliuona ule mkwara wa Robert Amsterdam? Nani atathubutu.Hii inaitwa mchawi mpe mwanao akulelee.
Polisi,serikali leo nimewavulia kofia trick mliyocheza na hawa mabwana.
Pole sana ulisema chadema wanaandamana mitandaoni, next time uwe na akili.Hii ndio ccm bhana kula na kipofu,!
Sasa hapa tayari mabeberu wenu wameona kumbe tz kuna democrasia ya hali ya juu
Ni vizuri kujipa matumaini katika wakati mgumuHii ndio ccm bhana kula na kipofu,!
Sasa hapa tayari mabeberu wenu wameona kumbe tz kuna democrasia ya hali ya juu
Na wewe umeshagangilia airport kumshuhudia Rais TL. Hongera sana huo ndio uzalendo.Kumekuwa na hamasa kubwa katika mitandao ya kijamii juu ya mapokezi ya Tundu Lissu.
Aidha, machapisho mbalimbali yamesisitiza ujio huo tarehe 27/07/2020 na kusisitiza kuwa watu wajitokeze kwenda kumpokea Airport.
Nipo Airport sasa hivi, na siamini ninachokiona kwani Airport ni kweupeee. Hapo ndo utajua wajumbe siowatu.
Kesi simple sana hizo hata alipokuwa hapa alikuwa na kesi kibao na hajawahi kufungwa kwa kesi hata moja,zote nyepesi hizo!! Zote zina dhamana!!Viongozi wenu wana Case ya kujibu, wakiwa kizimbani mje wote pia😂
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Unafikiri tz nzima ni hako ka kikundi tu?Zoezi la kuaga nasikia limevurugika
Bashite na cyprian Musiba wapo na waganga wa kienyeji vichwa vinawauma sanaNdugu zangu nawaomba sana achaneni na maneno ya dhihaka. Kumbukeni hujafa hujaumbika.
Nina amani moyoni kiasi kwamba nimepata ugonjwa wa furaha ya kupitiliza uitwao Mania.Karibu nyumbani Lissu! Hopeful makamanda wa dar mtatuwakilisha vziuri sisi wa mikoani. Peopless.... Hakuna kulalala mpaka kieleweke.
Nilitaka kuifungulia thread nikaona Mods watai_merge na nyingine!!hakika!
hii tuifungulie thread kabisa mkuu
Tena amualike ikulu wamywe chai pamoja kuzika tofauti hyo kitu itamjengea magufuli heshima maradufu na kufuta minong'ong'ono ya watu na atarudisha Imani kwa Raia wote wenye itikadi tofauti tofauti, jk alikuwa anawa Minya upinzani Ila kuwaita ikulu kukaa meza moja kizushi kulimjengea heshima mpaka Leo watu wanamkumbuka.Mungu amlnde TL na abariki safari yake ya kugombea urais.
Wasijue cha kufanyaBashite na cyprian Musiba wapo na waganga wa kienyeji vichwa vinawauma sana