Mkuu umeongea kama mtumishi wa Mungu. Amani na utulivu ndio jambo la kwanza ili ilete maendeleo. miaka mitano ya Jpm imeisha hivi hivi amekalia kiwinda winda watu. Hakujamfikisha popote zaidi ya kumshusha kama ulivyosema tikio la leo limekufanya urudishe imani kwake.
 
We tulia lea mtoto ukikua utaelewa
 
Mtanena sana kwa lugha leo! Maumivu yakizidi kunywa sumu!

Ni nyie munalia.. sisi hapana maumivu.. bali mumekomeka leo.. ni furaha kwetu.. Awamu ya tano oyeeeeeeeeee

Pokea hii tena πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰
 
Hili litatupa ushahidi chanzo cha vurugu siku zote ni nani
Mwenyewe nawapongeza police kwa kutokuumiza raia wasio na silaha, maana wangetumia vurugu wangeharibu image ya taifa pia kuumiza walipa kodi
 
Kumbuka kabla HUJAFA HUJAUMBIKA. Ukilema Lissu hakuutaka bali ni roho mbaya na chuki za kutisha za mtu mmoja aliyetaka kumuona Lissu akiwa Marehemu.
Mkuu BAK, jiandae kisikolojia kwa matukio yatakayofuata baada ya Lissu kutua salama nchini.
 
Kila sababu mtatoa tu.
Tunampongeza Lisu kwa kuvaa barakoa akiingia Tanzania wakati wanaompokea wote hawana barakoa kuionyesha dunia kuwa Tanzania is a country where there is no corona
 
Kwa walilomfanyia lissu inabidi aconsult Mababu wa Congo au kakonko wampike na mtu yeyote atayemgusa ateketee yeye na ukoo wake wote ,ajiwekee tego la Ndizi kila ndizi ikidondoka inaodoka na mtu wa ukoo atakayemfanyia ubaya tena.
Mkuu mimi ni mwana Kakonko na siku hizi tunatumia tego la mawese, kila akiguswa linatoka wese moja
 
Usitufokee
 
Wewe kama huguswi waache wenzio wafanye kile wanachoona inafaa. Usiingilie uhuru wa wengine
 
Huamin unachokiona , Mungu ni mkubwa sana...

Alipigwa risasi akaokolewa mungu na siku Yake ya kurejea mkapa kafariki ili msilete vurugu.

Amina amepona..
Mbowe kugilti.. muyamalize kukwenu.. na muwache kutendana maovu..

Ruzuku hamuna laivu πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

2020 Magufuli.. kiulainiiiiii
 
Huamin unachokiona , Mungu ni mkubwa sana...

Alipigwa risasi akaokolewa mungu na siku Yake ya kurejea mkapa kafariki ili msilete vurugu.
Unamuuwa mtu sababu ya tumbo lako then Mungu anamponya sijui unauweka wapi uso wako.
Tubu upate kupona,
 
Alichofanyiwa ndo kimemkuza,unajua mpango muovu ukishindwa huzaa jambo la maana na kubwa sana,huyu jamaa atabaki ktk mambo makubwa ya kukumbukwa kwa aliyopitia milele
Huyu mtu ana nyota kali,shinda ile ya Lowassa 2015,time will tell
 
Mkuu hivi maisha yako na ya viongozi wa ccm yanafanana????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…