cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Coco mlisema Lisu hatakuja. Vipi hapo. Pole na msiba.
Upinzani ndio walikuwa wamaanimi corona ni hatari na hadi wakashinikiza ifanyuke lockdown, wakaenda mbali zaidi wabunge wao wakakacha bungejana watu walivyokuwa uwanja wa taifa wakimuaga mkapa mbona hukuuliza kuhusu hizo mask kisa ni upinzani ndio wahoji chuki binafs hizo.
Duh!
Hivi hii Corona kweli ni hatari kivile au?
Manake hata pale uwanja wa Uhuru bado naona watu wanaoenda kuuaga mwili wa Mkapa nao hawavai facial covering yoyote ile.
Si viongozi, si Askari, si raia wa kawaida!!!
Kama kweli corona ingekuwa ni hatari kivile, athari zake zisingefichika.
Hata Lissu naye nimeona kaishusha kabisa barakoa yake.
Kodi zetu mkuu si ccm,ccm wasifu kwa ufisadi na roho mbayaSasa hapo umeonewa nini? Mara ooh Serikali ya CCM haijafanya lolote. Oneni sasa mnavyoifurahia Terminal III
Chadema wameumia sana kupuuzwa na vyombo vya dola. Walitegemea msaliti wa taifa atapewa kiki. Imebuma.
Nimeamini kuna watu ni pumbavu sana hapa duniani... kabla hujaandika hii comment ulijiuliza km lisu anakuja kwa ajili ya serikali hadi kufanya hiyo serikal kumpuuza..?Waliokwenda kumlaki Lissu wakirudi majumbani kwao wajiulize wamefaidikaje, wakati viongozi wao na Lissu mwenyewe watakuwa wanakula bata kwenye chumba chenye kiyoyozi.
Wajinga ndiyo waliwao, maana naona kundi linasaga lami kama wakati ule mgombea alidekiwa barabara ya lami aweze kupita.
Kama nilivyotoa angalizo awali kuwa matarajio ya mkakati wa CHADRMA utabuma kwani Serikali imepuuza ujio wa Lissu.
Mbowe ni muhuni kweli,!Mh Mbowe kushoto akiwa na mh Tundu Lissu
View attachment 1518569
Nishaolewa miaka 13 iliyopita.Kama hauja olewa naomba nitangaze nia
Leo tuone vurugu zitaanzia wapi. Ki asili watanzania sio watu wafujo. Ni kweli sisi ni watu maskini lakini tunakula dagaa na maharage tunalala kwa amani. Tunajuliana hali.Police hutumia nguvu isiyo ya lazima baada ya kuamuriwa na RC, au Dc au igp huwa inasikitisha sana
Shida police wao hutekeleza amri kwa kushambulia raia kisa amri bila kupima madhara yake. Unaacha watu waandamanr Linda usalama usiku wakale ma kwao ndio kazi ya police hyoTrue hivi ndivo polisi inatakiwa maadamu awafunji sheria waacheni jioni watalala wenyewe,unaleta maendeleo kwann uogope upinzani?
Siku zote polisi ndio chanzo cha vurugu, Hakuna mtz yeyeto apendae vurugu
Hahahaa sio airport Tu.Malofaaaa
wamejazanajee airport aisee
NotedUshauri kwa Chadema:-
Nashauri Lissu asitumie line ya tanzania yeyote ya simu ,nashauri atumie line ya nje na huku awe anafanya roaming tu na namba ya nje isiwe ya ubelgiji maana "TEETH" wataweza kuitrack ,kwa mawasiliano atumie whatsapp only kwa calls na sms ,hiyo namba ya nje imuwezeshe kupata internet tu ila hasitumie kwa voice.
Wasijue kabisa lissu anakaa wapi kwa mda wote awapo TZ ,sehemu ambayo anakaa waijue watu wa ngazi za juu tu chadema napendekeza TOP 3 tu,wengine wote wasijue kwa ajili ya usalama wake na pia nyumba anayokaa wafunge CCTV ambazo ziwe monitored na kurekodi matukio na kuhifadhi cloud,ulinzi uwe 24/7 hakuna mtu yeyote kusogea ndani ya mita 50 kutoka eneo analokaa,narudia tena hakuna mtu yeyote hasiyehusika kusogea ndani ya mita 50.
Kama ikipendeza awe anavaa bullet proof vest na kaptula akiwa sehemu za hadhara/kipindi cha kampeni,pia awe na ulinzi wa kutosha nyumbani na sehemu yeyote anayoenda halafu hao walinzi wawe full loaded na wawe well trained na combat.
Perfect!Shida police wao hutekeleza amri kwa kushambulia raia kisa amri bila kupima madhara yake. Unaacha watu waandamanr Linda usalama usiku wakale ma kwao ndio kazi ya police hyo
Mkuu, nijipe matumaini? Kwa faida ya nani?Ni vizuri kujipa matumaini katika wakati mgumu
Ingemuongezea CV Sana kipindi hichi maana huwezi ua mkizanzano wa mawazo maana hyo ingefanya uchaguzi uwe na amani kwa ajili ya nchi yetu.Bahati mbaya yeye hashaliki wala hasikilizi ushauri, ukimshauri ndio umeharibu kabisaa
Kwanini mkuu, mi nipo ndani ndani huku Mwanarumango nauliza tu hali ipoje huko mjini?
Mimi nimepokea mzima unanipa pole ya nini? Wewe pole kwa kuwa umefiwa na kada maarufu.Wapi nilisema!!..
Nawe pole..