Uwanja wa Ndege Dar: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu - Julai 27, 2020
jana watu walivyokuwa uwanja wa taifa wakimuaga mkapa mbona hukuuliza kuhusu hizo mask kisa ni upinzani ndio wahoji chuki binafs hizo.
Upinzani ndio walikuwa wamaanimi corona ni hatari na hadi wakashinikiza ifanyuke lockdown, wakaenda mbali zaidi wabunge wao wakakacha bunge
 
Duh!

Hivi hii Corona kweli ni hatari kivile au?

Manake hata pale uwanja wa Uhuru bado naona watu wanaoenda kuuaga mwili wa Mkapa nao hawavai facial covering yoyote ile.

Si viongozi, si Askari, si raia wa kawaida!!!

Kama kweli corona ingekuwa ni hatari kivile, athari zake zisingefichika.

Hata Lissu naye nimeona kaishusha kabisa barakoa yake.

Kwani mtu akipata Corona anaanguka hapo alipo na kufa? Inawezekana watu wana kufa nyumbani kwao kwa magonjwa ambayo yamewaathiri zaidi kutokana na Corona. Hiyo hatujui kwa sababu watu hawapimwi Corona kwa sababu haipo.

Amandla...
 
Mpeni lissu pole yangu mlio enda kumpokea, maana kapona salama na anatembea vizuri tuu
 
Chadema wameumia sana kupuuzwa na vyombo vya dola. Walitegemea msaliti wa taifa atapewa kiki. Imebuma.

Aiseeee mpuuuzi sana Wewe,huna akili Kabisa.Aibuuuu yenuuuu mlikuwa mnatutisha tusiiende ati mnapolisi wenye magari ya washawasha sasa tumewashinda mnageuza kibao!Malaya wa kisiasa period
 
Waliokwenda kumlaki Lissu wakirudi majumbani kwao wajiulize wamefaidikaje, wakati viongozi wao na Lissu mwenyewe watakuwa wanakula bata kwenye chumba chenye kiyoyozi.

Wajinga ndiyo waliwao, maana naona kundi linasaga lami kama wakati ule mgombea alidekiwa barabara ya lami aweze kupita.

Kama nilivyotoa angalizo awali kuwa matarajio ya mkakati wa CHADRMA utabuma kwani Serikali imepuuza ujio wa Lissu.
Nimeamini kuna watu ni pumbavu sana hapa duniani... kabla hujaandika hii comment ulijiuliza km lisu anakuja kwa ajili ya serikali hadi kufanya hiyo serikal kumpuuza..?

Kimsingi wamefanikiwa (kwa mtazamo wako kwamba ni kiki) kwa kuwa cdm lengo umati uwepo, watu waone... ari ya kusupport chama irudi hasa kwa wale wakata tamaa.....

Acha kutafuta sababu ya kupinga..... wakat nafsi yako imekubali baada ya kuona matoke...
 
Police hutumia nguvu isiyo ya lazima baada ya kuamuriwa na RC, au Dc au igp huwa inasikitisha sana
Leo tuone vurugu zitaanzia wapi. Ki asili watanzania sio watu wafujo. Ni kweli sisi ni watu maskini lakini tunakula dagaa na maharage tunalala kwa amani. Tunajuliana hali.

Tunaombeana memana kusaidiana kwa uwezo wetu. Kuna kakikundi kalitaka kutubadilisha asili yetu. Na kashindwe Kwa jina la Masiha Yesu Kristo wa Nazereth. ( Nb. Kuna yesu wa chatle pia)
 
True hivi ndivo polisi inatakiwa maadamu awafunji sheria waacheni jioni watalala wenyewe,unaleta maendeleo kwann uogope upinzani?
Siku zote polisi ndio chanzo cha vurugu, Hakuna mtz yeyeto apendae vurugu
Shida police wao hutekeleza amri kwa kushambulia raia kisa amri bila kupima madhara yake. Unaacha watu waandamanr Linda usalama usiku wakale ma kwao ndio kazi ya police hyo
 
Kumbe Polisi Tanzania huwa wanakuwa na Busara hivi ( hasa hii walioionyesha ) leo hapo JNIA sasa ilikuwaje huko nyuma walikuwa ni Wanoko tu?
 
Ushauri kwa Chadema:-

Nashauri Lissu asitumie line ya tanzania yeyote ya simu ,nashauri atumie line ya nje na huku awe anafanya roaming tu na namba ya nje isiwe ya ubelgiji maana "TEETH" wataweza kuitrack ,kwa mawasiliano atumie whatsapp only kwa calls na sms ,hiyo namba ya nje imuwezeshe kupata internet tu ila hasitumie kwa voice.

Wasijue kabisa lissu anakaa wapi kwa mda wote awapo TZ ,sehemu ambayo anakaa waijue watu wa ngazi za juu tu chadema napendekeza TOP 3 tu,wengine wote wasijue kwa ajili ya usalama wake na pia nyumba anayokaa wafunge CCTV ambazo ziwe monitored na kurekodi matukio na kuhifadhi cloud,ulinzi uwe 24/7 hakuna mtu yeyote kusogea ndani ya mita 50 kutoka eneo analokaa,narudia tena hakuna mtu yeyote hasiyehusika kusogea ndani ya mita 50.

Kama ikipendeza awe anavaa bullet proof vest na kaptula akiwa sehemu za hadhara/kipindi cha kampeni,pia awe na ulinzi wa kutosha nyumbani na sehemu yeyote anayoenda halafu hao walinzi wawe full loaded na wawe well trained na combat.
Noted
 
Bahati mbaya yeye hashaliki wala hasikilizi ushauri, ukimshauri ndio umeharibu kabisaa
Ingemuongezea CV Sana kipindi hichi maana huwezi ua mkizanzano wa mawazo maana hyo ingefanya uchaguzi uwe na amani kwa ajili ya nchi yetu.
 
Back
Top Bottom