Mshukuru Mungu tuko salama, huu ugonjwa sio wakuletea mzaha na kujifanya wajuaji...watu wanahaha, dunia inahangaika na maelfu ya watu wamepotea...Hizi kauli sio nzuri kuna siku tunaweza kupata janga kama Taifa halafu dunia ikatuangalia tu tupambane nalo...
 
Umeshabadili gear angani

Jr[emoji769]
 
Kumbe ukiamua kuwa fair unaweza eeh?
Hongera.
 
Ukiwa nje ya nchi na ukipanda flight kuvaa barakoa ni Jambo la lazima hutaki Baki hata mashirika ya nje bila barakoa huiingii nayo ofisini.
Naongelea ukishatua kwenye Nchi Corona free country Lisu kashuka na barakoa anaonekana kituko tu wanaompokea hawana Barakoa yeye kakomaa na barakoa vyombo vyote vya kimataifa katusaidia kuwatangazia kuwa Tanzania is a Corona free Country
 
Kati ya intelijensia zote tatu hii ya mamlaka za nchi ndio inaangaliwa kwa karibu mno kwakuwa chochote itakachokifanya kitaonwa na kusikika kimataifa. Hapa ndio panahitajika kuwa na washauri wenye weledi mkubwa na hekima ya kuamua mambo ya kitaifa
Nu vema intelijensia hii ikazishauri mamlaka ziruhusu mapokezi bila fujo na bila kutunishiana misuli, watakuwa wamefanya jambo moja kubwa sana.

Jr[emoji769]
 
Usichokipenda lazima kikuchoshe
Story hiyo hiyo kila siku we get it; vipi mambo ya budget deficit, uchumi, dawa, matibabu, elimu, umeme, miundombinu etc.

Hata hao ACCACIA wake washaingia mitini sasa story yake itabaki risasi 16 tu kama tumemsikia mara ya kwanza tukaelewa, majanga yaliyomkuta na tukasikitika nae; basi tushamsikia mara zote hadithi yake inaanza kuchosha what next.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…