Vinafanana kwa jinsi vinavyopokewa na jamii. Una ndugu yako aliyetangazwa hadharani kuwa kafa kwa Ukimwi? Au uko kama mimi, Ukimwi haujagusa kwetu?

Amandla....
Ukimwi umeua ndugu zangu wa karibu kabisa kuanzia mwaka 1992.

Na hata sasa ninao ambao ni waathirika.

Kuna mmoja ni mwathirika tokea 1988! Miaka 32 sasa.

Kuna wanachama wengi tu wa JF ambao walikuwa hawajazaliwa hiyo 88....
 
Sitarajii kuona comments ya namna hii kutoka kwako
 

Done
 
Bora ukweli usemwe.
 
Ni muda sasa wa yeye kujionea Magufuli is becoming somewhat a Saint kutokana na kazi.

Kuna mtu kadai baada ya kuona terminal 3 kidogo Lissu mwenye aseme CCM oyee.
Halafu baada ya hapo anakutana na akina mama wamepanga nyanya mpaka barabarani, itabidi awashangilie CCM kwa juhudi za kuleta ufukara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…