Uwanja wa Ndege Dar: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu - Julai 27, 2020
Vinafanana kwa jinsi vinavyopokewa na jamii. Una ndugu yako aliyetangazwa hadharani kuwa kafa kwa Ukimwi? Au uko kama mimi, Ukimwi haujagusa kwetu?

Amandla....
Ukimwi umeua ndugu zangu wa karibu kabisa kuanzia mwaka 1992.

Na hata sasa ninao ambao ni waathirika.

Kuna mmoja ni mwathirika tokea 1988! Miaka 32 sasa.

Kuna wanachama wengi tu wa JF ambao walikuwa hawajazaliwa hiyo 88....
 
Hivi unajuwa wewe ni kiazi kuliko viazi wote humu? Wewe ni mshamba tu hata ufanyeje! Mshamba haswa! Umle dada yangu una hadhi wewe shamba boy? Halafu wewe ni unaliwa samvu kopo?

We ni mtoto wa watu huniambii kitu! Itakuwa uko US kwa kodi zetu kima wewe! Haujui hata Tanzania!
Sitarajii kuona comments ya namna hii kutoka kwako
 
Kati ya intelijensia zote tatu hii ya mamlaka za nchi ndio inaangaliwa kwa karibu mno kwakuwa chochote itakachokifanya kitaonwa na kusikika kimataifa. Hapa ndio panahitajika kuwa na washauri wenye weledi mkubwa na hekima ya kuamua mambo ya kitaifa
Nu vema intelijensia hii ikazishauri mamlaka ziruhusu mapokezi bila fujo na bila kutunishiana misuli, watakuwa wamefanya jambo moja kubwa sana.View attachment 1518610

Jr[emoji769]

Done
 
Bado nipo nimepokea picha zaidi ya mia tano za Msafara wa Lisu, mm ni ccm damu damu lakini ukweli usemwe tu, Lisu ana nguvu ya kiushawishi isiyo ya kawaida...

Tanzania ni kama vile tumesha sahau kama kuna msiba wa kitaifa...

na report kutoka hapa Illinois Marekani mm ni Waziri wa kaskazini Jf
Bora ukweli usemwe.
 
Ni muda sasa wa yeye kujionea Magufuli is becoming somewhat a Saint kutokana na kazi.

Kuna mtu kadai baada ya kuona terminal 3 kidogo Lissu mwenye aseme CCM oyee.
Halafu baada ya hapo anakutana na akina mama wamepanga nyanya mpaka barabarani, itabidi awashangilie CCM kwa juhudi za kuleta ufukara.
 
Back
Top Bottom