Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Ukimwi umeua ndugu zangu wa karibu kabisa kuanzia mwaka 1992.Vinafanana kwa jinsi vinavyopokewa na jamii. Una ndugu yako aliyetangazwa hadharani kuwa kafa kwa Ukimwi? Au uko kama mimi, Ukimwi haujagusa kwetu?
Amandla....
Na hata sasa ninao ambao ni waathirika.
Kuna mmoja ni mwathirika tokea 1988! Miaka 32 sasa.
Kuna wanachama wengi tu wa JF ambao walikuwa hawajazaliwa hiyo 88....