Mkuu wa mkoa wa DSM anastahili sana pongezi katumia busara ktk hili, ila angekua yule mdhulumu haki za kuishi za watu sidhani kama mambo yangekua hivI yalivyo sasa.
 
Sawa sawa na kufumania halafu ukae kimya kama hakijatokea kitu vile.
 
Kwenda zako hahaha, leo mmepigwa bao, na coincidence inaenda poa, kesho tunaenda kutoa heshima...

Next day tunaenda kwa mwenyekiti kumpa pole kwa suala la mguu.
Baada ya hapo mtatuita mahakamani kumalizia zile kesi na mnakuwa mnampa publicity kwa bei nafuu hahah,kisha ataanza kutoa kauli ambayo humfanya awe mwanaume pekee wa shoka.

Sisi wengine huwa tunaitolea katika keyboards na fake ID, ile ya 'nini uchwara'.Kwa kifupi kichomi kimerudi.Tume na vyombo dole..oh dola viwaokoe
 
Police wa Dar ni wachache kuliko ule umati boss shituka toa tongo
 
Corona ina stigma kama HIV Aids?

Hiyo ni mpya kwangu!

Watu wengi wanaoipata hiyo corona, wanapona...

Ni kutokana na watu kuamini kuwa serikali haitaki hizo taarifa zitoke. Na watu wanaogopa mambo ya isolation kama itajulikana mmoja wao ana Corona. Mtaa mzima utawakimbia. Unless wewe ni Mbowe.

Amandla...
 
Upo sahihi mzeiya ila sio kwa tukio la leo.... kwasababu gani intentions walikuwa nazo tyr but at the end of time wakaona zitawacost in long run....
 
Well said my fellow great thinker
 
Kuna ile law unatuma watu watende Jambo kwa mgongo wako huku wao wanapata lawama wewe hauguswi mfano case za makonda Hadi mheshimiwa akawa hamtumbui refer issue ya madawa. Honestly hichi kitabu nilikisoma chote Hadi nukta

Hiyo ni law #7 LAW 7: GET Others to do the work for you, but ALWAYS take the credit!Use the wisdom, knowledge, and legwork of other people to further your own cause.

Mzee anawatuma watu Bungeni kutetea kikokotoo, then anatoka hadharani kukivunja.
 
Hii game CDM ndio wamepigwa chenga, kumbe hukujua, yaani no any govnt security force imewazuia so CDM haijapata publicity ya kusema nje ya nchi. Hivyo imepoa kwa lugha nyingine
Vyombo vyote vya habari vya kimataifa vilikuwepo na ishu ya Lisu inafuatiliwa kwa karibu sana na taasisi za kimataifa, Ni vile kuna msiba mzito wa rais mstaafu vingine polisi wangekua wangeshapangwa kuanzia Saa kumi na moja alfajiri kuzuia watu wasifike katika kiwanja cha JKNI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…