Tagawa Mwakitombile
JF-Expert Member
- Sep 20, 2012
- 464
- 393
Mkuu wa mkoa wa DSM anastahili sana pongezi katumia busara ktk hili, ila angekua yule mdhulumu haki za kuishi za watu sidhani kama mambo yangekua hivI yalivyo sasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa sawa na kufumania halafu ukae kimya kama hakijatokea kitu vile.Kwenye kitabu cha "48 Laws of Power" cha Robert Green, Law #3 inasema hivi:
Conceal your intentions: Keep people off-balance and in the dark by never revealing the purpose behind your actions. If they have no clue what you are up to, they cannot prepare a defense...
Well done CCM.
Ameogopa kupigwa kabali n wanaompa kiburi Cha kutukana hovyo....wazungu sio watu wa mchezo mchezo[emoji3]Serikali ya Mh. Rais wetu JPM inatumia akili sana aiseee..
Kwenda zako hahaha, leo mmepigwa bao, na coincidence inaenda poa, kesho tunaenda kutoa heshima...Kwenye kitabu cha "48 Laws of Power" cha Robert Green, Law #3 inasema hivi:
Conceal your intentions: Keep people off-balance and in the dark by never revealing the purpose behind your actions. If they have no clue what you are up to, they cannot prepare a defense...
Well done CCM.
Police wa Dar ni wachache kuliko ule umati boss shituka toa tongoAlie toa wazo la kutowazua CDM kumpokea Lisu kwa upande wangu ndie mahindi. Nilitegemea polisi kuja na nguvu kubwa kwenye tukio hili na kusababisha mauaji makubwa, na jamii ya kimataifa kutuona wa mwisho katika mataifa yasio na mwelekeo. Hongera Rais, hongera IGP.
Corona ina stigma kama HIV Aids?
Hiyo ni mpya kwangu!
Watu wengi wanaoipata hiyo corona, wanapona...
Upo sahihi mzeiya ila sio kwa tukio la leo.... kwasababu gani intentions walikuwa nazo tyr but at the end of time wakaona zitawacost in long run....Kwenye kitabu cha "48 Laws of Power" cha Robert Green, Law #3 inasema hivi:
Conceal your intentions: Keep people off-balance and in the dark by never revealing the purpose behind your actions. If they have no clue what you are up to, they cannot prepare a defense...
Well done CCM.
Well said my fellow great thinkerKulizungumzia hili kunahitaji fikra kuu.
There can be more than three school of thoughts. But either way, nampongeza sana Mheshimiwa rais Magufuli. Hakika ni maagizo yake tu ndiyo yaliwafanya polisi kukaa mbali na tukio hili.
Tupate muda kidogo mengi yatajulikana
Kuna ile law unatuma watu watende Jambo kwa mgongo wako huku wao wanapata lawama wewe hauguswi mfano case za makonda Hadi mheshimiwa akawa hamtumbui refer issue ya madawa. Honestly hichi kitabu nilikisoma chote Hadi nukta
Police wote wa Dar idadi yao ni ngapi?Mmecheza mziki wa CHADEMA mlijua hawatokuja kama maandamo mengine sad fact wametokea wananchi wengi kuzidi police wote wa Dar
[emoji1787][emoji1787]Mimi ni nani niwe tofauti na auntie yangu [emoji847]
Vyombo vyote vya habari vya kimataifa vilikuwepo na ishu ya Lisu inafuatiliwa kwa karibu sana na taasisi za kimataifa, Ni vile kuna msiba mzito wa rais mstaafu vingine polisi wangekua wangeshapangwa kuanzia Saa kumi na moja alfajiri kuzuia watu wasifike katika kiwanja cha JKNIHii game CDM ndio wamepigwa chenga, kumbe hukujua, yaani no any govnt security force imewazuia so CDM haijapata publicity ya kusema nje ya nchi. Hivyo imepoa kwa lugha nyingine