brazaj hebu njoo utie neno huku.

Nilikuwa namalizia kushughulika na zwazwa mmoja anajiita z-complex akidhani JF ni army barracks. Nadhani atakuwa kanielewa.

Mkuu kukosekana kwa taarifa sahihi ni tatizo kubwa kuliko yeyote anavyoweza kufikiria.

Watu tuko confused tufanye nini tuache nini.

Tumetekelezewa janga na hivyo sote "maji ga nyanja" maneno wa mwalimu. Tunaendelea kuwa wahanga watarajiwa. Na uzi huu kuendelea kutuhusu:

Kutoka kwa wahanga watarajiwa wa Covid-19
 
Ina maana siku zote hizi ulikuwa husadiki? Au muhemko
Kusadiki ni kubwa na imani fulani kwa kitu / jambo ambalo laweza kuwa kweli au si kweli. Muujiza wa kupona kwa TAL umezidisha au kuinua imani za watu kwa kusadiki kuwa MUNGU YUPO na yu HAI.
 
Habari wadau

Mh Tundu Lissu kila siku anazidi kujiweka mbali na Serikali ya Tanzania na sijui kwanini hajirekebishi.

Leo wakati amewasili katika ofisi za chama wakati anaongea na waandishi wa habari kasema kuwa

Namnukuu ''Nawapo Pole CCM kwa kuondokewa na Rais wao aliyekuwepo madarakani kwa miaka kumi na kusema kuwa kesho ataenda kutoa pole kwani msiba siyo wa Magufuli peke yake''

Ukiangalia maneno yake hii inaonesha wazi kabisa kuwa yeye binafsi Marehemu hakumtambua kama Rais wa Tanzania ila Rais wa CCM

Pili Tundu Lissu hawezi kufanya mkutano bila kumtaja Rais John Pombe Magufuli tena kwa lugha zenye ukakasi na zenye kuonesha chuki ndani yake

Ningependa kumkumbusha Tundu Lissu kuwa huu msiba sio wa CCM ni Msiba wa Taifa na Kama hamtambui Marehemu Kama Rais wa TANZANIA Basi hatakiwi kwenda hata kumuona Sababu Ile itakuwa shughuli ya CCM na yeye ni Chadema Haimuhusu.
 

Wala hoja yako sio Corona, bali idadi iliyojitokeza kumpokea Lissu bila vurugu. Imebidi uje na huu uzi wa kupoza machungu. Ww si ndio ulileta uzi wa vitisho vya kijinga jana?
 
Unafiki mkubwa saaana. Wakati nchi jirani zimeteremsha bendera kuomboleza kifo cha Rais Mstaafu, wao leo wamepandisha bendera zao.
 
Nafikiri ni mtizamo wako,mimi naona kama kwa kusema "msiba si wa Magufuli pekee yake" ni ishara ya kuwa anamuonea huruma Raisi kwa msiba huu.

Jambo la pili hawezi kumtaja mtu mwingine kama Membe au lipumba kwa sababu hawa sio Marais na lugha za ukakasi zinatumiwa na wanasiasa wa pande zote. (rejea kauli ya malofa,rejea kauli za kuwadhalilisha wanawake).
 
Msitetemeke na maneno ya hiyo muhaini wa nchi, MUNGU anamuona na atamhukumu vile vile,chuki zake ni uchu wa madaraka na kwa sasa atasema lolote ilmradi wazungu washenzi wamsikie na kumsifia
 
Wanasiasa wanajuana kwa vilemba...kalaghabaho!

Wanadai ndani ya Si Hasa hakuna adui wala rafiki wa kudumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…