Sole Proprietor
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 223
- 254
Nimefurahi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
100%Tundu Lissu is a Miracle!
brazaj hebu njoo utie neno huku.
PoliCCM wamepungukiwa nini sasa leo?!!!
Kumbe ustaarabu wanaujua.
Sent from my G-PADLITE using JamiiForums mobile app
Indeed a living miracle meant for best in business. Changing lives of Tanzanians.Tundu Lissu is a Miracle!
Intelejensia ya lumumba imesha gundua kuwa mtu wao hakubaliki
Kusadiki ni kubwa na imani fulani kwa kitu / jambo ambalo laweza kuwa kweli au si kweli. Muujiza wa kupona kwa TAL umezidisha au kuinua imani za watu kwa kusadiki kuwa MUNGU YUPO na yu HAI.Ina maana siku zote hizi ulikuwa husadiki? Au muhemko
Hivyo alivyonyoosha picha ya pili ni kinumbe cha shangazi yako hayo?Mbona tena huyu mgombea haweki vidole 2 sio tena kamanda.
Tangu Janga la Corona lianze Wapinzani wote Tanzania wakiongozwa na CHADEMA walikuwa wakibeza na kupinga kila hatua iliyokuwa ikichukuliwa na serikali kwenye kupambana na Corona. Mh Mbowe yeye alienda mbali zaidi akadai Kuna mamia ya watu wanakufa na kuzikwa usiku huku hospital kama Amana na Mloganzila zikiwa zimefurika wagonjwa.
Hawakukubaliana na Chochote kwenye Mapambano dhidi ya Corona badala yake walikuwa wakisifia mataifa jirani huku wakidai serikali ya Tanzania imeamua kuua watu wake makusudi kwa Corona hadi ikafikia hatua wakasusia bunge.
Sasa leo ni ajabu watu hawa wanao amini kuwa kuna mamia ya watu wanakufa kwa Corona Tanzania wanafanya mikusanyiko tena bila tahadhari yoyote.
View attachment 1518743
View attachment 1518745View attachment 1518747View attachment 1518748
Huyu nae alikuja akiwa amevaa barakoa ila alipofika JNIA akaivua
Inamaana ameivua kwasababu anajua amefika sehemu salama.
View attachment 1518752
View attachment 1518756
View attachment 1518758
Kwa hali hii tukiwaita wanafiki wala hatutakuwa tumekosea.
Unafiki mkubwa saaana. Wakati nchi jirani zimeteremsha bendera kuomboleza kifo cha Rais Mstaafu, wao leo wamepandisha bendera zao.Tangu Janga la Corona lianze Wapinzani wote Tanzania wakiongozwa na CHADEMA walikuwa wakibeza na kupinga kila hatua iliyokuwa ikichukuliwa na serikali kwenye kupambana na Corona. Mh Mbowe yeye alienda mbali zaidi akadai Kuna mamia ya watu wanakufa na kuzikwa usiku huku hospital kama Amana na Mloganzila zikiwa zimefurika wagonjwa.
Hawakukubaliana na Chochote kwenye Mapambano dhidi ya Corona badala yake walikuwa wakisifia mataifa jirani huku wakidai serikali ya Tanzania imeamua kuua watu wake makusudi kwa Corona hadi ikafikia hatua wakasusia bunge.
Sasa leo ni ajabu watu hawa wanao amini kuwa kuna mamia ya watu wanakufa kwa Corona Tanzania wanafanya mikusanyiko tena bila tahadhari yoyote.
View attachment 1518743
View attachment 1518745View attachment 1518747View attachment 1518748
Huyu nae alikuja akiwa amevaa barakoa ila alipofika JNIA akaivua
Inamaana ameivua kwasababu anajua amefika sehemu salama.
View attachment 1518752
View attachment 1518756
View attachment 1518758
Kwa hali hii tukiwaita wanafiki wala hatutakuwa tumekosea.
Msitetemeke na maneno ya hiyo muhaini wa nchi, MUNGU anamuona na atamhukumu vile vile,chuki zake ni uchu wa madaraka na kwa sasa atasema lolote ilmradi wazungu washenzi wamsikie na kumsifiaHabari wadau
Mh tundulisu kila siku anazidi kujiweka mbali na Serikal ya Tanzania na sijui Kwanini hajirekebish
Leo wakat amewasil Katika ofis za chama wakat anaongea na waandish wa habari kasema kua namnukuu
Nawapo Pole CCM kwa kuondokewa na Rais wao Alie kuepo madarakan kwa Miaka kumi na kusema kua kesho ataenda kutoa pole kwani Msiba sio wa Magufuli Peke yake
Ukiangalia maneno yake hii inaonesha Waz kabisa kua yeye Binafs Marehem hakumtambua Kama Rais wa TANZANIA Ila Rais wa CCM
Pili Tundulisu hawezi kufanya mkutano bila kumtaja Rais John Pombe Magufuli Tena kwa lugha zenye ukakas na zenye kuonyesha chuki Ndani yake
Ningependa kumkumbusha Tundulisu kua Huu Msiba Sio wa CCM ni Msiba wa Taifa na Kama hamtambui Marehem Kama Rais wa TANZANIA Basi hatakiw kwenda hata kumuona Sababu Ile itakua shughuli ya CCM na yeye ni Chadema Haimuhusu