Huyu hasikubabaishe,anatafuta kiki kwa lazima kwa ushauri wangu kwa rais hasishughulike nae hata kidogo mpaka siku ya kesi yake itakapotajwa ili awajibike kwa kutoroka baada ya kudhaminiwa sheria inataka agende jela miezi mitatu.
 
Tanzania hakuna corona au hukuisikia seriali wewe ! Au umesikia kuna mgonjwa yoyote wa corona?
 


Unachekesha sana LOCK DOWN inategemea na rekodi za upimaji! sasa Watanzania wanapata wapi rekodi za upimaji!
 
siasa za kale hizi. fanya siasa kisasa.
 
Najua ndio kwanza ukurasa umefunguliwa, mengi yatafuata na hatujui yatakuwa na sura gani ila Mungu muweza aliyeweza kumlinda aendelee kumlinda nasi tuishi kwa amani. Sijajua hawa jamaa leo walitulia kwa sababu ya msiba au walidhamiria kweli kuleta utulivu na amani. Tuendelee kudumisha demokrasia na kuacha siasa chafu na zenye chuki.
 
Msitetemeke na maneno ya hiyo muhaini wa nchi, MUNGU anamuona na atamhukumu vile vile,chuki zake ni uchu wa madaraka na kwa sasa atasema lolote ilmradi wazungu washenzi wamsikie na kumsifia
Duuuh! mhaini hajakamatwa?
Kweli nchi imebadilika
 
Daahhhh WEWE JAMAAA UMEOA ? NI BABA WA FAMILIA???


Tundu kasema anawapa pole wanaccm kwa kuondokewa na mwenyekiti wao wa miaka kumi wazaman, anawapa pole watanzania kwa kuondokewa na Rais ....


Hiii yako umeipata wapi???
 
Nani aliyemtelekeza mwenzie?
 
Wakuu habari za Leo,natumaini mu wazima wa afya tele.

Naomba tulejee kwenye mada husika, Leo ilikuwa ni siku murua ya kumpokea ndugu T.Lissu ambapo wafuasi wa chadema na mabeberu walitegemea kuwa watu wengi wangejitokeza kumpokea Mwamba Lissu .

Chakusikitisha na kushangaza ni kwamba watu walofika katika mapokezi hayo ambayo yamelipotiwa na vyombo vya ndani pamoja na vya mabeberu kuwa hawakuweza kufika hata elfu moja kama ambavyo wengi walitegemea

Hii ni salamu tosha kwa wasaliti wote,na kama lissu anamtazamo wa kuupata urais wa Jamhuli ya watu wa Tanzania nadhani Leo amejionea na kutambua kuwa watanzania hawana muda naye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…