Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 3,474
- 3,744
Kwa hiyo umenukuu hayo tu...unaonyesha una chuki binafsi na lissu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ifike hatua muache undumila kuwili,wakisumbua mnalia,wakiwaacha mnabeza.PoliCCM wamepungukiwa nini sasa leo?!!!
Kumbe ustaarabu wanaujua.
Sent from my G-PADLITE using JamiiForums mobile app
Una matatizo mkubwa sana. Nakuona machozi yanavyokutoka
Hapo sijabeza, nimehoji.Ifike hatua muache undumila kuwili,wakisumbua mnalia,wakiwaacha mnabeza.
Tangu Janga la Corona lianze Wapinzani wote Tanzania wakiongozwa na CHADEMA walikuwa wakibeza na kupinga kila hatua iliyokuwa ikichukuliwa na serikali kwenye kupambana na Corona. Mh Mbowe yeye alienda mbali zaidi akadai Kuna mamia ya watu wanakufa na kuzikwa usiku huku hospital kama Amana na Mloganzila zikiwa zimefurika wagonjwa.
Hawakukubaliana na Chochote kwenye Mapambano dhidi ya Corona badala yake walikuwa wakisifia mataifa jirani huku wakidai serikali ya Tanzania imeamua kuua watu wake makusudi kwa Corona hadi ikafikia hatua wakasusia bunge.
Sasa leo ni ajabu watu hawa wanao amini kuwa kuna mamia ya watu wanakufa kwa Corona Tanzania wanafanya mikusanyiko tena bila tahadhari yoyote.
View attachment 1518743
View attachment 1518745View attachment 1518747View attachment 1518748
Huyu nae alikuja akiwa amevaa barakoa ila alipofika JNIA akaivua
Inamaana ameivua kwasababu anajua amefika sehemu salama.
View attachment 1518752
View attachment 1518756
View attachment 1518758
Kwa hali hii tukiwaita wanafiki wala hatutakuwa tumekosea.
siasa za kale hizi. fanya siasa kisasa.Tangu Janga la Corona lianze Wapinzani wote Tanzania wakiongozwa na CHADEMA walikuwa wakibeza na kupinga kila hatua iliyokuwa ikichukuliwa na serikali kwenye kupambana na Corona. Mh Mbowe yeye alienda mbali zaidi akadai Kuna mamia ya watu wanakufa na kuzikwa usiku huku hospital kama Amana na Mloganzila zikiwa zimefurika wagonjwa.
Hawakukubaliana na Chochote kwenye Mapambano dhidi ya Corona badala yake walikuwa wakisifia mataifa jirani huku wakidai serikali ya Tanzania imeamua kuua watu wake makusudi kwa Corona hadi ikafikia hatua wakasusia bunge.
Sasa leo ni ajabu watu hawa wanao amini kuwa kuna mamia ya watu wanakufa kwa Corona Tanzania wanafanya mikusanyiko tena bila tahadhari yoyote.
View attachment 1518743
View attachment 1518745View attachment 1518747View attachment 1518748
Huyu nae alikuja akiwa amevaa barakoa ila alipofika JNIA akaivua
Inamaana ameivua kwasababu anajua amefika sehemu salama.
View attachment 1518752
View attachment 1518756
View attachment 1518758
Kwa hali hii tukiwaita wanafiki wala hatutakuwa tumekosea.
Duuuh! mhaini hajakamatwa?Msitetemeke na maneno ya hiyo muhaini wa nchi, MUNGU anamuona na atamhukumu vile vile,chuki zake ni uchu wa madaraka na kwa sasa atasema lolote ilmradi wazungu washenzi wamsikie na kumsifia
Daahhhh WEWE JAMAAA UMEOA ? NI BABA WA FAMILIA???Habari wadau
Mh tundulisu kila siku anazidi kujiweka mbali na Serikal ya Tanzania na sijui Kwanini hajirekebish
Leo wakat amewasil Katika ofis za chama wakat anaongea na waandish wa habari kasema kua namnukuu
Nawapo Pole CCM kwa kuondokewa na Rais wao Alie kuepo madarakan kwa Miaka kumi na kusema kua kesho ataenda kutoa pole kwani Msiba sio wa Magufuli Peke yake
Ukiangalia maneno yake hii inaonesha Waz kabisa kua yeye Binafs Marehem hakumtambua Kama Rais wa TANZANIA Ila Rais wa CCM
Pili Tundulisu hawezi kufanya mkutano bila kumtaja Rais John Pombe Magufuli Tena kwa lugha zenye ukakas na zenye kuonyesha chuki Ndani yake
Ningependa kumkumbusha Tundulisu kua Huu Msiba Sio wa CCM ni Msiba wa Taifa na Kama hamtambui Marehem Kama Rais wa TANZANIA Basi hatakiw kwenda hata kumuona Sababu Ile itakua shughuli ya CCM na yeye ni Chadema Haimuhusu
Nani aliyemtelekeza mwenzie?Nilikuwa namalizia kushughulika na zwazwa mmoja anajiita z-complex akidhani JF ni army barracks. Nadhani atakuwa kanielewa.
Mkuu kukosekana kwa taarifa sahihi ni tatizo kubwa kuliko yeyote anavyoweza kufikiria.
Watu tuko confused tufanye nini tuache nini.
Tumetekelezewa janga na hivyo sote "maji ga nyanja" maneno wa mwalimu. Tunaendelea kuwa wahanga watarajiwa. Na uzi huu kuendelea kutuhusu:
Kutoka kwa wahanga watarajiwa wa Covid-19