Acha uongo
 


Acha kuchekesha watu. T.L lazima mtafungua threads za uongo kila muda ili kujifariji
 
Hilo ndiyo ombi kuu la watanzania wapenda amani
 
Wewe hata pole hutaki kutoa kwa Lissu lakini unalazimisha tutoe pole kwa nkapa
 
Kumbuka hao mamia ya watu ni wale waliojitoa muhanga bila kuogopa policcm waliokataza watu wasimpokee Lissu.
Je wasingekataza unadhani wangekuwa ni watu kiasi gani?
Tumia akili dada mkubwa.!!
 
Ni kweli alisema hivyo ,lakini mwishoni akajisahihisha na kusema Rais wetu.
 
Naona sindano imekuingia vyema maungoni mwako baada ya leo mh Lissu kupokewa kama mfalme.
 
Mpumbavu mkubwa!
 
πŸ˜…TIA NENO!

Leo ni sikukuu kubwa sana kwa watetezi wa haki, demokrasia na uhuru wa kujieleza Tanzania, baada ya mapokezi ya amani ya Commander LISSU, tuliyemkosa kwenye ulingo wa siasa za Bongo kwa kiasi cha miaka mitatu!

Katika pitapita yangu mitandaoni nimekutana na hii 'cartoon' iliyoniacha Sina mbavu!


πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ’₯

Nawakaribisha wadau kutia neno lolote linaloendana na hiyo picha au, kwa lugha ya wenzetu, 'PLEASE CAPTION THE PHOTO'!
πŸ˜…
πŸ‘Š ✌️✌️✌️πŸ’₯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…