Uwanja wa Ndege Dar: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu - Julai 27, 2020
Arriving soon
1595842144974.png
 
Katika mapokezi ya Lissu, ndio tutaona tofauti zilizomo Chadema::: kati ya Waaminifu na Walafhai, wakweli na Wanafiki, waoga na Majasiri, wampendao.

Pia hatuwaona hapo wale wapiga kelele mitandaoni.

Jee tutamuona Bi Fatma Karume hapo?????
 
FULL OF SMILES AND LAUGHTER LOOKING FORWARD TO MEETING MY BROTHERS AND SISTERS AM FLYING ACROSS OCEANS AND LANDS OF FOREIGN PEOPLE, COMING BACK HOME.
 
Back
Top Bottom