Uwanja wa Ndege Dar: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu - Julai 27, 2020
Hawa security wa TAA ndo wengi Makhirikhiri na jamaa wa Airwing

Nadhani mmeshajua msukumo mkubwa unatokea wapi.

Naombea Amani itawale pande zote ziwe na busara ba haya mapokezi yamalizike vizuri. Kashaumia sana TL hakuna haja ya kuendelea kusumbuana nae.

Amen

Wakati mwingine ni matumizi mabaya tu ya madaraka. Hivi juzi watia nia wa ccm walikuwa wanagawa rushwa kama njugu hadharani, hao watu wa usalama hawakufanya lolote. Lakini leo wameagizwa na wanasiasa ili waonekane wanafanya kazi, kwa kumsubiri mwanasiasa ambaye hakuwa mkimbizi, hana sifa ya kuendesha makundi ya yanayomiliki silaha, wala hajawahi kuingia msituni, anapokelewa kama gaidi.

Mambo haya ndio yanapelekea wazungu kutuita manyani. Mtu anakuja mchana kweupe, na katangaza kabisa, kuna haja gani kwa vyombo vya usalama vinavyojitambua kwenda kujenga taswira ya uhasama usio na sababu yoyote, ili kukidhi kiu ya mwanasiasa anayeongoza nchi? Hapa ndio tunapotaka katiba irekebishwe, na baadhi ya mamlaka ziondolewe kwa rais, ili taasisi zetu zibaki kufanya kazi kwa weledi, badala ya kutumiwa kwenye siasa chafu.
 
Mimi sielewi hapa.
LISU ni chaguo la chama au la wafuasi?
Lema ameshasikika mara nyingi kumfanyia hujuma Tundu lisu, lakini bora afike salama asome upepo akiona hawaeleweki ahamie ACT ama apumzike siasa aangalie maisha mengine mtaani , mbowe anajidanganya kumsapoti nyalandu hukutaleta wabunge chadema zaidi ya kuambulia patupu tu

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
update. Madakika tu shujaa kutua nyumbani.
1595844450359.png
 
Jamani hilo li dreamuliner la Ethiopia vipi.
Halijakanyaga chini bado....?
 
Niko hapa Airport, kwani wengine mko wapi, nyie watu wa mitandaoni ni wachochezi sana aisee

Sitawaamini tena, watu ni kidooogo Sana hapa kuliko uwingi wa watu wa mitandaoni,
 
Hizo taarifa umezipata wapi kama sio kubwabwaja tu hapa JF.
Katika hii miaka mitano tu ya utawala wa jiwe, zaidi ya trilioni 2.5 HAZIJULIKANI ZILIPO. Pesa hiyo ni zaidi ya UFISADI wote uliofanyika kwa awamu zote tangu tupate uhuru, unapata wapi ujasiri wa kushabikia na kutukuza MHALIFU wa kiwango hicho Mkuu n.g.u.r.u.w.e wa lumumba?
 
Niko hapa Airport, kwani wengine mko wapi, nyie watu wa mitandaoni ni wachochezi sana aisee

Sitawaamini tena, watu ni kidooogo Sana hapa kuliko uwingi wa watu wa mitandaoni,
Mmetanguliza polisi ili mtutie kilema
 
Back
Top Bottom