Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Amina
It has been a fair bargain, Mkapa to go for Lissu to come.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
It has been a fair bargain, Mkapa to go for Lissu to come.
hahahha vipi watu wamejitokeza kumpokea Lissu au Lissu hana wafuasi tena??
Bali wanaharibu shughuli za wengineAcha uzembe.. hawaja piga wala kuvunja meza ya mtu.
HahahahahahCorona itawamaliza hao kabla hata ya uchaguzi[emoji1787]
Huko ni kumvunjia heshima marehemu.
Magu kasema hakuna corona[emoji3]Corona itawamaliza hao kabla hata ya uchaguzi[emoji1787]
Chokoraa makonda ni shetani yule na makalio take ya haja....Kongole kwa mkuu mpya wa mkoa wa Dar es Salaam. Huyo sasa ni mtumishi wa umma na mpaka hatua hii ameshajitofautisha na machokoraa kama Makonda
Fujo huwa wanaanzisha watu wenu wenye akili punjeNimeona.. yaani leo utalii wenu kuona uwanja mupya.. kumekucha.. mununue vitu hata maji..muchangie mapato kunchi yetu pendwa..
Leo mumebaki mataa.. musifanye kufujo.. muondoke mulivyofika hapo.. [emoji2][emoji2][emoji2]
Kuzizima [emoji116][emoji116][emoji116]DAR ES SALAAM IMEZIZIMAView attachment 1518516
Umeonaee na ambavyo wengi wamevaa safe nyekundu Kama za Simba kwa kweli anayepomelewa hapa so mgombea urais Bali ni kocha wa mpya wa YangaView attachment 1518513
Sasa wanatuombea corona [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mumebuma sana kila sababu mtaitoa leo kwasbabu mliodhani sio mliofikiria.
Duh!
Hata 10 hawafiki 🤣🤣
Mask za nini? Muheshimiwa Rais wetu Mpendwa, Kiongozi shupavu ameshatuhakikishia hakuna Korona; Tena anawashangaa wanao vaa mask;
Brother Uko wapi? mimi nipo ughaibuni na napata Info zote kama nipo nyumbani;
Mask tunavaa sisi huku kwetu ndo bado ipo, ila Tz ni salam mkuu, hivyo endelea kufurahia maisha
sijui kama itapita ya kwangu🙏✌💪Nina furaha sana leo,Allah akbar
Leo unaongea kikongo kesho utaongea kinyarwandaKuna siku mutatu.. mukwende ni Raisi wetu wote..
Kumbuka batu banapita banaondoka.. habakitangaza batu balale uwanjani.. [emoji2][emoji2][emoji2]
Leo munalia.. mumebashushuka.. [emoji2][emoji2][emoji2]
Awamu ya Tano ina tupa muhaki sana..
Mkuu, LISU hana madhara kwa sasa. Tumeshamzingira kila kona. CHADEMA kwa sasa imeshapoteza mvuto wa kisiasaSerikali imefanya kitu cha maana sana kuwaacha hawa jamaa wakusanyike bila kuwasumbua. Ishu ni wadhamini wake wakimuona maana ndio wanaosumbuliwa mahakani...