Uwanja wa Ndege Dar: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu - Julai 27, 2020
Lisuu amuulize mzee LOWASA
hahahha vipi watu wamejitokeza kumpokea Lissu au Lissu hana wafuasi tena??
Screenshot_20200612-094059.jpg


Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Mask za nini? Muheshimiwa Rais wetu Mpendwa, Kiongozi shupavu ameshatuhakikishia hakuna Korona; Tena anawashangaa wanao vaa mask;
Brother Uko wapi? mimi nipo ughaibuni na napata Info zote kama nipo nyumbani;
Mask tunavaa sisi huku kwetu ndo bado ipo, ila Tz ni salam mkuu, hivyo endelea kufurahia maisha

Mkuu huko 'ughaibuni', CHADEMA kilikimbia bunge kupinga msimamo wa Rais na serikali juu COVID-19. Ulipata hii taarifa? Je, COVID-19 imeisha? Au CHADEMA sasa inaunga mkono msimamo wa serikali juu ya hili janga?
 
Back
Top Bottom