R.I.P mzee MkapaHahahaaaaa
Magufuli oyeeeee
Mbele ya Magufuli hata corona imecheua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
R.I.P mzee MkapaHahahaaaaa
Magufuli oyeeeee
Mbele ya Magufuli hata corona imecheua.
Wakati wa kampeni Magufuli ataenda tu kusalimia , hakuna cha lisu wala mboweMlisema hivyo hivyo. Ooh mko nyuma ya Keyboar! Leo mmebaki midomo wazi
Hahahaha. Hiyo ni changamsha baraza tu.Unapigwa sound live!
Kwendaaaa uko mnafiki mmoja wa ccm.What are the actual numbers ya watu kwenye hiyo nyomi?
Kuiacha hisia na kutumia uhalisia, hugo nyomi yote ipige kura, halafu zidisha mara kumi, Kira milioni 6 zitafika? Kama zitazidi milioni 6 zitatoboa ushindi?
Upinzani bado utasubiri sana kuchukua dola. Amsha amsha iendeleetu.
Tundu karibu nyumbani kumenoga.
AllahuakbarHii ni siku kubwa na kwa msingi huo nimeamua kuwapa uhuru wote niliowaweka kwenye ignore list yangu na sasa nimeweza tena kuzisoma posts zenu lakini duh! Hakika Mungu ni mkubwa, Mungu ni taa na penye mwanga giza ni marufuku...asante Mungu kwa kuangaza kwa mwanga mkali ndani ya taifa letu na kusababisha shetani na wafuasi wake kuumbuka na kuanza kutafuta pa kuficha nyuso zao.
Hadithi ya kupigwa risasi 38 bila kufa haiwezi kuichosha dunia ya leo wala itakayokuja.Story hiyo hiyo kila siku we get it; vipi mambo ya budget deficit, uchumi, dawa, matibabu, elimu, umeme, miundombinu etc.
Hata hao ACCACIA wake washaingia mitini sasa story yake itabaki risasi 16 tu kama tumemsikia mara ya kwanza tukaelewa, majanga yaliyomkuta na tukasikitika nae; basi tushamsikia mara zote hadithi yake inaanza kuchosha what next.
sure mkuuAaaah ndugu yangu taratibu please. Mheshimu mwenyekiti wangu wa chama changu. Twende na hoja.
Karibu Lissu. Mlinzi wako mkuu ni MKONO WA MUNGU.
Hata sasa tumeuona mkono wa Bwana
Safari hii sio push up pekee kuomba kura,atabanwa mbavu mpaka aanze kupiga sarakasi na kichura chura jukwaani kuomba kura!Wakati wa kampeni Magufuli ataenda tu kusalimia , hakuna cha lisu wala mbowe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] JF raha sana.Safari hii sio push up pekee kuomba kura,atabanwa mbavu mpaka aanze kupiga sarakasi na kichura chura jukwaani kuomba kura!
Msafara unaendelea. Tupo MagomeniView attachment 1518642View attachment 1518643View attachment 1518644View attachment 1518645View attachment 1518646View attachment 1518647View attachment 1518648View attachment 1518649View attachment 1518650View attachment 1518651View attachment 1518652View attachment 1518653
Dstv ni kigezo cha kocha wa YangaGari,WiFi na Dstv. Unavyo kama hauna jiogenze. Vigezo kama vya Luc kocha wa Yanga .
Mchezo bado sana, Safari hii sio push ups tu lazima wapige sarakasi majukwaani kuomba kura!Bila shaka sasa tutaanza kuelewana maana watu walidhani hii mechi ya mchangani
Marehemu hasemwi kwa mabayaKaribu tena Lissu tujenge nchi.
Huku Corona inasemekana hakuna na ilikwisha isha nadhani umejionea hata wafuasi wamekuthibitishia hilo kwa vitendo. Imekwishaje mimi sijui.
Bila shaka kesho utamsindikiza Mzee wetu Mkapa japo aliwaiteni wapumbavu mwaka 2015 mkalalama kuwa mmetukanwa.