guwe_la_manga
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 2,820
- 2,758
Karibu Lissu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msiba ni wa waTZ wote bila kujali hitikadi za vyama vyao, hivyo ni haki yake kwenda kumuaga kiongozi wake wa kitaifa. Hasa ukizingatia kwamba hakuna uhakika bado kwamba Lissu ataweza kwenda kwenye mazishi. Muacheni akatoe heshima zake za mwisho kama raia wengine. Hata waziri mkuu amekaribisha kila mtu mwenye kuweza kutoka kila kona ya nchi aende akaage mwili.Halima amefanya vyema, si vibaya chama kikatoa shukran rasmi kwa jeshi la polisi, hata kama ni kwa kinafiki. Pia nashauri sana Tundu Lisu ashauriwe kutokwenda kesho msibani. Kwangu bado Lisu ana hasira na lile shambulio, kwa vyovyote atataka kuionyesha serikali na hasa rais Magufuli kuwa amepona. Na mashabiki wake wanaweza kuonyesha furaha iliyopitiliza ambayo itaipa serekali kuchukua maamuzi hasi.
Kwakuwa wamemstahi leo, ni vyema angeachana na huo msiba, kuna nafasi kubwa ya kushindana na ccm. Na kama itawezekana kuanzia sasa Lisu pia ashauriwe asitumie lugha kali za kupandisha hamasa za chuki, bali apambane na ccm kwa sera. Kuna sehemu nyingi sana za kuwazidi ccm, mfano huu rushwa ya juzi kwenye chaguzi zao, ajira, ugumu wa maisha wa wananchi, demokrasia nk. Ni vyema apange vizuri mashambulizi yake kisiasa, kuliko kuonekana anambana na mtu binafsi, kwa ajili ya shambulizi binafsi.
Hata yeye hajui kesho yake Hujafa hujaumbika akumbukeYakikukuta au yakimkuta mjombaako ama mkaza mjombaako uje na kauli za aina hiyo. Hujafa hujaumbika
Mara nyingi wanao chafua hali ya hewa ni polisi kwa kulazimisha yasiyo kubalika ili wapate kisingizio. Mfano mdogo ni pale airport makamanda walianzisha wimbo pale "kamanda tuvushe" lakini viongozi walipokataza mara moja watu walinyamaza na amani imekuwepo adi mwisho. Mdee yuko sahihi katika hili. Na hata wanao watuma hao polisi pia wamefanya busara sana maana dunia inafuatilia matukio mawili makubwa ndani ya nchi moja na kwa wakati mmoja. Watu kufanya wanayoyafanya sio kwamba hawana akili ama busara, la hasha, wanaamua tu kujitoa ufahamu kwa maslahi flani.Asanteni sana @tanpol !!! Tunawapenda SANA!! SISI ni watu wema!!! Tanzania ni YETU SOTE. Tusiruhusu maslahi ya WATU wachache watuvurugie UPENDO wa ASILI wa TAIFA LETU-Halima Mdee
Ungejiuliza kwanza walijiweka karantini wakati gani? Na kwa nini walijiweka karantini ? Serikali ilikuwa ikizungumza nini kuhusu covid-19? Na sasa serikali inazungumza nini? Mapokezi ya Mwinyi kule ZNZ uliyaonaje? Ama pale uhuru ambapo watu wanaaga mwili wa mstaafu umeona mazingira yake? Ama tatizo lako ni chadema tu?Leo Viongozi wa chadema wakiongozwa na Mbowe wameonesha usaliti kwa mara nyingine. Awali walijiweka kama wanajali wananchi ila leo wamekuwa tayari kuangamiza watanzania kisa Lissu.
Walijivika joho la WHO huku wakihubiri Sera za kubaki ndani maarufu kama Karantini kumbe ni unafiki mkubwa.
Tuwapime, tuwashangae, tuwakatae.
[emoji1534][emoji1548][emoji1534]Nilikuwepo , nimepeana mkono na Raisi Lissu mbowe mnyika lema msigwa sugu . Nimefurahi sana leo
Lisi kawavua nanihiii 😀😀 naona mnahangaika kweli!Naona umebaumiza kwa hili.. 😃😃😃
Ukweli una 💉💉💉
Yeye anaona maisha kayapatia...Hata yeye hajui kesho yake Hujafa hujaumbika akumbuke
Nguruwe wa Lumumba hamuishi virojaLeo Viongozi wa chadema wakiongozwa na Mbowe wameonesha usaliti kwa mara nyingine. Awali walijiweka kama wanajali wananchi ila leo wamekuwa tayari kuangamiza watanzania kisa Lissu.
Walijivika joho la WHO huku wakihubiri Sera za kubaki ndani maarufu kama Karantini kumbe ni unafiki mkubwa.
Tuwapime, tuwashangae, tuwakatae.
Mbona wewe amekuvuta hadi kumjadili. Mnaumia kwa vile mlilolitaka halikuwa mashetani wakubwa nyieHaya mliyemhitaji amefika, sijui mtamfanya nini maana hata hana mvuto, watanzana walio wengi hawana habari nae
Nimejifunza kuwa Wasukuma wengi sio watu wazuri.Leo Viongozi wa chadema wakiongozwa na Mbowe wameonesha usaliti kwa mara nyingine. Awali walijiweka kama wanajali wananchi ila leo wamekuwa tayari kuangamiza watanzania kisa Lissu.
Walijivika joho la WHO huku wakihubiri Sera za kubaki ndani maarufu kama Karantini kumbe ni unafiki mkubwa.
Tuwapime, tuwashangae, tuwakatae.
Hajawahi kuhubiri /ku-instigate watu wavunje amani! He has never done so! Labda useme awe mnafiki kumpamba JiweMh tundu lisu dunia imeona ulichofanyiwa na ujio wako umewatia aibu watesi wako.
Mapokezi yako yawape heshima waliokuja kukulaki. Ili waiandike historia Yao ya mapenzi na amani kupitia wewe.
Tal the great