Uwezo wa Waziri Ndumbaro ni Mdogo Sana

Mpaka mda huu angalu nawaona mawaziri wawili tu katika baraza la mawaziri sitotaja majina yao ,
 
Asubuh yote hii unawaza Niko wapi,amka kateke maji umpelekee mumeo maliwaton akaoshe janaba ulilompa usiku🤣🤣🤣
Yaan level yako ipo chini sana. Wakati nipo mdogo , baba aliweka picha kubwa, sebuleni. Ilikuwa inasema never argue with a fool people might not notice the difference. Ndio nimekiona kutoka kwako. Stay blessed. Endelea kuteseka mkuu.
 
Je, ni Waziri gani ambaye uwezo wake ni mkubwa?????
 
Nikishaona mtu anavaa suti na raba, automatically huwa najua ni zombie. Kuna siku kaenda kumpokea celebrity dogo mmoja uwanja wa ndege wa Arusha kipindi Cha dhalimu magu, alikuwa kavaa lisuit la kipeasant, yale masuit oversize, celebrity mwenyewe ni kijana mdogo amevaa hizi suruali za vijana na mchumba wake,wakawa wanashangaa huyu mkulima wa wapi analazimisha kuwasemesha?! Wakaambiwa na waziri wa utalii. Huyo dogo akawa anashangaa maana alikuwa hataki hizo shobo.

Inshort huyo dogo hakuwa anataka habari za huyo mshamba akawa anamkatia juu kwa juu. Na vile huyo Ndumbaro alikuwa anaongea kiingereza Cha English course, basi akawa anamkata dogo steam kishenzi. Alikuwa analazimisha kumuambia kasafiri toka Dar kuja kumpokea eti katumwa na rais Magufuli, maana serekali yake inajali utalii! Dogo alikuwa anaona story ya kishamba, maana hata huyo Magufuli mwenyewe alikuwa hamjui. Nilivyomsikia juzi analazimisha uzalendo uchwara wa kutovaa jezi za team za nje, nikajua ushamba kwake uko kwenye damu.
Tlaatlaah Lucas mwashambwa MamaSamia2025 ChoiceVariable
 
Uwe unanitag ukiandika kitu chenye kutumia akili sio huu ushuzi ulioandika.
 
mie kwanza ngoja ncheke 😀
 
Hao wenye maumbo kama hayo wanaitwa "Mongols". Mongol refers to a person suffering from Down's syndrome, owing to the similarity of some of the physical symptoms of the disorder with the normal facial characteristics of East Asia people
Kwa kilugha tunawaita 'Mongolian idiots'.
 
Aisee morphology structure ya kichwa yake inaonyesha kabisa ana mtindio wa ubongo, hatuna sababu ya kumlaumu.
Tuliosoma naye sec tunasema sio kweli,yule ni genious kwa taarifa yako. Angalia muundo wa vichwa vya genius wengi.Kama vipi wee nenda tu pale tabora boys nje,au mzumbe sec uwaangalie wakiingia na kutoka utajifunza kitu.Halafu huwa wapo kama hawapo lakini hatari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…