Mimi kila nikiamka naanzia kwenye page ya "micky junior"...jamaa taarifa zake za tetesi na usajili uliokamilika 95% ni zakweli na ndio mwaandishi mtoa habari za michezo za afrika kwa upande wa football bora kwangu,....so ukiona taarifa ya huyu onana haipo kwenye page yake hiyo taarifa ni batili
 
Anataka mshahara 46m kwa mwezi
 
Kanuni za [emoji633] ktk soka ndo zilifanya Messi aondoke, hata yeye hakupenda pia. Ila ndo hivyo sasa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Azam hata wawachukue Messi na Ronaldo hawawezi kuchukua ubingwa wala kuwa 2nd, wako ni kuanzia 3 kushuka chini.
 
Kanuni za [emoji633] ktk soka ndo zilifanya Messi aondoke, hata yeye hakupenda pia. Ila ndo hivyo sasa.
Kweli Financial Fair Play ziliwalazimu Barça waachane na Messi hawakupenda.

Hata Messi alisema hakupenda kuona wachezaji wenzake wapunguze mishahara yao ili tu yeye abaki
 
Surpong mwingine kutoka ligi ya Rwanda anakuja kucheza ligi ya Tz
 
Promo
 
 
Confirmed
Sakho anaondoka Simba
Mayele anaondoka Yanga
 
#EXLUSIVE||; 🚨 Klabu Ya Young Africans Huenda Ikatangaza Kuachana Na Kocha Wao Wa Viungo Helmy Gueldich, Kocha Huyo Ambaye Amehudumu Young Africans Zaidi Ya Miaka Miwili Anahitaji Kwenda Kutafuta Changamoto Sehemu Nyingine.

Nimuwendelezo Wa Young Africans Kuendelea Kupoteza Watu Wao Muhimu Kwenye Benchi La Ufundi.

1.. Kocha Mkuu Tayari Amesha Agwa.
2.. Kocha Wa Magolikipa Naye Ameshaagwa.
 
Nabi alikuja na watu wake na ndio anaondoka nao...

Mara paaap, nabi huyu hapa Azam FC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…