Vijana mnaotaka kuingia kwenye ndoa kuweni makini sana

Nawahusia vijana kwa sasa kuna changamoto nyingi sana katika ndoa na ukweli ndoa nyingi zinavunjika kwa sababu ya wanawake kujaa viburi na kutokuwaeshimu wanaume wao.

KIJANA KAA MBALI NA BINTI ALIYE LELEWA BILA BABA na usipumbazwe na ulokole feki utakaokuwa kwa Mama yake kwa maana single mother wengi ni Malaya mbwa wanaojificha katika makanisa.

Narudia tena usithubutu kuoa binti aliyelelewa na single mother Ni swala la muda tu utajuta na wengi wao ni walevi na usikute hata wamesha Shea mwanaume na Mama zao!
Kunywa glass moja ya maji ya uvuguvugu mkuu ushushe hasira...
 
Hatuna cha kufanywa, sisi hatuolewi tunaoa, sisi hatuendi kua chini ya mtu tunaenda kua juu ya watu (familia)..
Kwa uchache ivi sijui nmeeleweka mkuu!?
Huna msingi hujui kuwa juu ya mtu unatakiwa ubehave vipi, majukumu yako, maamuzi yako ambae ndo mtu tegemewa yaweje....hayo yote hukuyaona kwa mfano wa baba ako.

Mwisho unakua tu juu kama mjusi bro.
 
Nawahusia vijana kwa sasa kuna changamoto nyingi sana katika ndoa na ukweli ndoa nyingi zinavunjika kwa sababu ya wanawake kujaa viburi na kutokuwaeshimu wanaume wao.

KIJANA KAA MBALI NA BINTI ALIYE LELEWA BILA BABA na usipumbazwe na ulokole feki utakaokuwa kwa Mama yake kwa maana single mother wengi ni Malaya mbwa wanaojificha katika makanisa.

Narudia tena usithubutu kuoa binti aliyelelewa na single mother Ni swala la muda tu utajuta na wengi wao ni walevi na usikute hata wamesha Shea mwanaume na Mama zao!
Mi naona ungewaambia tu wasioe mazima. Kuoa kuna faida gani kama kila kukicha mateso tu.

Hata mwenye baba atachepuka, atakustress. Vya nini kujifia
 
Nawahusia vijana kwa sasa kuna changamoto nyingi sana katika ndoa na ukweli ndoa nyingi zinavunjika kwa sababu ya wanawake kujaa viburi na kutokuwaeshimu wanaume wao.

KIJANA KAA MBALI NA BINTI ALIYE LELEWA BILA BABA na usipumbazwe na ulokole feki utakaokuwa kwa Mama yake kwa maana single mother wengi ni Malaya mbwa wanaojificha katika makanisa.

Narudia tena usithubutu kuoa binti aliyelelewa na single mother Ni swala la muda tu utajuta na wengi wao ni walevi na usikute hata wamesha Shea mwanaume na Mama zao!
Sasa mkuu tuseme binti kalelewa na bibi and yake Baada ya wazazi kufariki na unakuta bibi alikuwa na miaka 45 labda hapo vipi?
 
Anachokisema jamaa ni kwel.
Kwasasa wanawake ni wajeuri mnooo na mbaya zaid wanazalisha watoto wajeuri mnoo maana kwa single mazas kuhusu malezi bora sahau.
So matatizo yanaongeza matatizo zaidi
Kuna reports inasema kwamba Zaid ya 75% ya wafungwa wote weusi walioko magerezani huko Marekani wamelelewa n single mothers...!!

Hii tu peke inatuonesha mtoto yoyote anayelelewa na single mother ana nafasi kubwa ya kuwa mtu wa ajabu ajabu tu... Kama ni mwanaume basi upo uwezekano wa kuwa muharifu na kama ni mwanamke basi kahaba na asiyekuwa na staha wala kutambua umuhimu wa mwanaume maishani mwake.
 
Tusiishie kulaumu wanawake Tu, tukubaliane na uhalisia kwamba miongoni mfumo wa maisha tulio upokea kwa jina la utandawazi Una mchango mkubwa katika kutikisa taasisi ya ndoa, watu wanaingia kwenye ndoa kupitia lifestyle za wenza wao wanazoziona kwa juu juu Tu ama mitandaoni, mtu huna background ya familia yake mnakutana ki mjini mjini mnaingia kwenye mahusiano baada ya mapenzi kuwanogea mnatangaza ndoa, kwa mtindo huo kutoboa ni bahati nasibu.

Mmekutana kwenye early 25's ama 27's zenu, mna background tofauti, mnaficha tofauti zenu ili mfikie lengo la ndoa ili kukwepa presha kutoka kwenye familia au jamii zinazowazunguka, mkishaingia kwenye ndoa kila mtu anaanza kutoa makucha yake sasa, mwingine kwao wana asili ya kuamini imani za kishirikina mkishaingia kwenye ndoa ndio anaanza rasmi kugeuza nyumba yenu kama uwanja wa majaribio, mwingine kwao wana asili ya kiburi akisha ingia kwenye ndoa ndio anaanza kukuonyesha vizuri kiburi chake.

Kutokana na mabadiliko ya ki mfumo wa maisha ndio maana hao waliotuletea utandawazi walikuja na aina tofauti tofauti za ndoa, ndoa za mikataba, ndoa za open relationship etc.

Ukiangalia jamii zilizokataa kuingia kwenye mfumo wa utandawazi utaona hata rate ya talaka ni ndogo sana kwao.
Golden comment
 
Nina demu wangu yaani ananikata mood wakuu yaani anavaa kipensi kifupi anasem hata wazazi wake wanamruhus kiukwel nimeamua niachen nae maan nimeona kabisa ntaishia kuja kuvaa karoti ...
mavazi ya ovyo kabisa mapaja nje matiti nje kiukwel ananiita mimi mshamba nimemwambia acha niwe mshamba mwelevu kuliko wew mjanja nimepiga chini wazee atanisameh miez miwil sas nishakata mawasiliano nae na ashajua nime move on
Umefanya uamuzi sahihi ambao binafsi sikubaliani nao...

Huyo haukutakiwa kumpiga chini, huyo ilipaswa umeweke kwenye list ya spermbins wako, yaani awe mwanamke wa kupunguzia uzito tu baasi pale unapokuwa na nyege Tena hamuwekei wivu kabisa
 
Sasa mkuu tuseme binti kalelewa na bibi and yake Baada ya wazazi kufariki na unakuta bibi alikuwa na miaka 45 labda hapo vipi?
Single mother hawana malezi mazuri kwa watoto,
Single mother wengi wao wanawaza kudanga na starehe na ulevi usiyo na maana wakituzuga na ulokole feki, Tena waajiriwa wanaongoza!
 
Kuna reports inasema kwamba Zaid ya 75% ya wafungwa wote weusi walioko magerezani huko Marekani wamelelewa n single mothers...!!

Hii tu peke inatuonesha mtoto yoyote anayelelewa na single mother ana nafasi kubwa ya kuwa mtu wa ajabu ajabu tu... Kama ni mwanaume basi upo uwezekano wa kuwa muharifu na kama ni mwanamke basi kahaba na asiyekuwa na staha wala kutambua umuhimu wa mwanaume maishani mwake.
Yaani ni shida tunaandaa taifa la ajabu sana huko mbeleni, unakuta mtoto wa kiume anakata mauno yupo na beki tatu huku mama yupo buys kutafuta hela anayetafutiwa hela unakuta kaandaliwa kuwa kashoga ka kesho au vichangu vilivyochangamka!
 
Nawahusia vijana kwa sasa kuna changamoto nyingi sana katika ndoa na ukweli ndoa nyingi zinavunjika kwa sababu ya wanawake kujaa viburi na kutokuwaeshimu wanaume wao.

KIJANA KAA MBALI NA BINTI ALIYE LELEWA BILA BABA na usipumbazwe na ulokole feki utakaokuwa kwa Mama yake kwa maana single mother wengi ni Malaya mbwa wanaojificha katika makanisa.

Narudia tena usithubutu kuoa binti aliyelelewa na single mother Ni swala la muda tu utajuta na wengi wao ni walevi na usikute hata wamesha Shea mwanaume na Mama zao!
Na hawa mnaozaa na kutelekeza nyie akina Kataa Ndoa lakink huku mkizaa zaa hovyo wataishia wapi? Ni mata of taimu tu mtajionea majanga kabla hamjafa mtajuta.
 
Back
Top Bottom