Vijana wa kiume mnaokataa ndoa, fanyeni mapema Kuoa kabla hamjakutana na hiki ninachopitia

Kuna siku ulisema upo kwenye ndoa kwa miaka miwili
 
ulipanda sharti uvune oa single mama mtupunguzie jam mtaa
 
Huyu ni mimi kabisa tunatofautiana kwenye ualimu na idadi ya watoto
 
Daaah! Kizazi kinachotengenezwa hapo ni bonge la bomuπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ
Hiki ni kizazi cha saka sasampa na ngono tuu
 
Ukiwa mzinzi huwezi pata mke,achana na hayo mambo,Tuliza kichwa muombe Mungu utapata mke wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…