Vijana wa kiume mnaokataa ndoa, fanyeni mapema Kuoa kabla hamjakutana na hiki ninachopitia

Ni kweli kuwa na mtoto alaf ukutane na Mwanaume na akuoe ni kipengele . Kawaharibia tu maisha wadada wa watu.

Pengne amejirud. Na dhamira ya kuoa iko. Sema ndio hajui aanzie wapi. Kwasababu ya umalaya wake anahisi hata akiwa na mwanamke bado atagongewa nje(hii ndio Hofu yake kwa nilivyomuelewa)
Na ndio maana nikamshaur atafute Bikra au msichana mdogo zaid atulie nae. Na Amuoe kama kweli Nia ipo.
 
Changamoto iliyonayo kwa sasa ni kupata mwanamke sahihi wa kuweza kuhudumia familia yako yaani hao watoto wako.wanawake wengi hawapendi kuhudumia watoto ambao siyo wake. Mtihani mwingine endapo utaoa na kuzaa watoto ujue hao uliozaa nao ndoa watakaopendwa zaidi na kupewa kipaumbele katika kila jambo.Hapo utakuwa na familia iliyopata fanyika.
 
Kwenye haya maisha bora ufaulu mtihani wa social life kuliko economical life.

Kinachokucost ni "FAILIRE TO CONTROL LUST".

Na anguko lako litakuwa hapo hapo kwenye lust.

Fear of unknown pia inakuandama, kwa sababu ya umalaya wako, basi sasa ubongo wako unaogopa kuoa sababu unahisi wanawake wote ni sawa, kumbe mambo hayako ivo!
 
Ah alafu nyie bwana mlisha enjoy weee mbunyeee za warembo ndio mnataka kutushauri mambo ya kuoa mapema....wacha na siee tushenyentw mbususu alafu huo upweke tutauona.

Bwana wanawake wakuoa wapo wacha he sana na ukweli ni kwamba aio wanawake ata wanaume husband material wa hache. Kikubwa wakuu ni kwamba sifa kuu ya kuwa mume na mke wengi wetu hatuna, so in short tuendelee kudingana tuzalishane alafu kila mtu akae kwake tusioeane stress
 
Unamaanisha nini kusema "timu yako"?
Ww si utateteaga Team Kataa ndoa 😊😊😊.
Wanalinda vibunda wenzio🤣🤣🤣
Naona wana wasiwasi kuwa wakioa alaf wakiachana watagawana mali.
Hii tu ndio Hoja yao ambayo naiona.

Ila nan amesema kila ndoa lazima muachane?.
Nan amesema kila ndoa mtakuwa na mali nyiiiing had uone unaonewa wakat wa kugawana?😊😊😊😊.

Kwanza Team Kataa ndoa naona kabisa hawana mali wale vijana. 😂😂😂. Asa sijui wanaogopa nn.

Kuhusu Hela. Nadhan ukiwa na Wanawake tofaut tofaut ndio hela inapotea. Huyo amezaa watoto watatu.
Hapo bado wadogo hao. Wakikua atajuta zaid kusomesha. Hasa wakiwa mbali mbali.
 
Ila wanaume mnajichukulia utukufu sana malaika nyie. Wanawake this, wanawake that. Mkishafanya umalaya na ufuska wenu mkavuruga kila kitu basi escape boat ya maujinga yenu ni wanawake.
Basi sawa, ngoja movie iendelee.
Gender zote hovyo kabisa....hakuna husband material wa wife material wote ni ngonorizing material tuu
 
Ww si utateteaga Team Kataa ndoa 😊😊😊.
Umekurupuka mkuu.
🤣🤣🤣 acha wenzio walinde buku buku zao bwana. 🤣🤣
Akili zimeurugwa na trauma zao tu.
Kuhusu Hela. Nadhan ukiwa na Wanawake tofaut tofaut ndio hela inapotea. Huyo amezaa watoto watatu.
Hapo bado wadogo hao. Wakikua atajuta zaid kusomesha. Hasa wakiwa mbali mbali.
Hapo ana familia 3 tofauti, zenye kila kitu tofauti. Ana flaws kibao ila kajipa umungu mtu, wenzie ndio anawaona wajinga🙆‍♂️🙆‍♂️
 
Ni kweli kuwa na mtoto alaf ukutane na Mwanaume na akuoe ni kipengele . Kawaharibia tu maisha wadada wa watu.
Wapo wanaooa wengi tu, ila sasa ndio uwe kati ya watakao olewa! Imagine akose wa kumuoa kisa jamaa yake, halafu jamaa yake yupo huku analilia mwanamke mwingine aoe!
Hakuna kitu kama kujirudi, tabia ni ngozi hawezi kuiacha atapoa tu kwa muda! Mtenda hutendwa! Acha kumpotosha akaharibu mabinti wadogo huko akakomae na magumegume wenzie ndio watawezana! Kwanza muoaji hayupo hapo..! Ndoa ni vita akiudhiwa kidogo anaaga mashindano! Kuna mwanaume hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…