Vijana wa kiume mnaokataa ndoa, fanyeni mapema Kuoa kabla hamjakutana na hiki ninachopitia

Daaah! Kizazi kinachotengenezwa hapo ni bonge la bomu🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
 
Imagine unawekaje future ya watoto wako juu ya mikono ya mwanamke unayedai ni "mjinga"? Na hapo sio mmoja!!

Ikiwa ana akili sana alishindaa vipi kuchagua mama bora wa watoto wake?
Kifupi huyu mtoa mada yeye ndiye mjinga ila ni vile tu ameamua kuwabebesha zigo la kinyeshi hao wanawake ili yeye aonekane msafi.

Maana hii story ni ya upande mmoja sana, bahati mbaya ameshindwa kuipamba vizuri.
 
Ukiwa na hela mambo ni mawili, aidha uoe mtoto mdogo sana ambaye hajui maisha ili umfundishe maisha akiwa anakuzalia watoto tayari.
 
Sasa wewe umetengeneza single mothers halafu unataka uoe asiye single mother kweli! Kwanza ushaleta matatizo Kwa wanao Kwa kufikili kuwahudumia Kila kitu ndio malezi mkuu umefail.
Alitakiwa Akawaoe Wale Single Mom
Aache Ujanja
 
MI NADHANI UNAPANIC TU BRO, UNA KAZI NI WEWE TU,MI PIA NI MIJANA EARLY 30 NA NILIKUA MGUMU SANA KUOA KAMA WEWE, ILA NIMEWAZA NA KUBAINI NDOA NI MUHIMU JAPO IKAWA MABINTI NAODATE NAO WENGI SINGLE MAZA NA MSIMAMO WANGU WA MIAKA YOTE KUTOKUOA SINGLE MAZA YAANI NIMEWAMWAGA WENGI SANA ILA ALHAMDULLH, NIMEPATA MSICHANA MNYENYEKEVU ANASALI SANA KAKULIA KWENYE DINI, JAPO MI SI MTU WA DINI SANA, NIMEMPIMA NA KWA AWALI NAONA ANAFAA,HANA MTOTO PIA KANAJITUMA ISHU NDO VILE KANATAKA NIKAJITAMBULISHE KWAO NA HUU NDIO MZIKI UNAONISUMBUA SABABU KIPATO CHANGU SIO KIVILE KIASI NIPATE PESA YA UKWENI KWA KUANZIA ILA BINTI HANA NOMA KAJIWEKA KWANGU.
 
huu uzi baada ya kuhamasisha ndoa ndo unahamasisha kataa ndoa kushikilia msimamo wao dhidi ya ndoa hongera kijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…