Vijana wa kiume mnaokataa ndoa, fanyeni mapema Kuoa kabla hamjakutana na hiki ninachopitia

Hakuna Uhuru hapa duniani lakini nakusihi saana kaka achana kabisa kuwaza wanawake wa kuoa mtandaoni acha kabisa kaka
 

Ninakusihi ndugu.
Kabla hujamzalisha.
Nenda kajitambulishe .
Sio gharama mbona.

Baada ya hapo unapeleka barua ya posa. Unajibiwa . Unapeleka Mahar. Na hapo sasa unatulia.

Nashangaa sana wanaoogopa kuoa kwasababu ya gharama.

Wakat ndoa za Halmashauri na za kiislam ziko.
Tena hii ndoa ya halmashauri/serikal ndio nzuri kuliko zote.
 
Sijajua maana ulikubali ila sikuoni na ukasema sijui pm haiko sawa which was uongo tu. Au unaogopa nitakuibia madini? ๐Ÿ˜‚
Ni kweli PM yangu ni mbovu ngoja nitaongea na moderator ๐Ÿคฃ
 
Hakuna mwalimu fala kama wewe nazani unafurahisha jukwaa hapa
 
hii ndio tatizo lako
wewe mtu kukuweka karibu nikusogeza karibu disappointment huaga mood zako zina change anytime

Bye mkuu๐Ÿ™
Hahaha why, why, why,
Yaani ni kama huwa unakuwa na shoti nikisogea kidogo tu unanichapa. Sasa mbona nimeonesha hadi emoji ya kucheka kuonesha nothing is serious? ๐Ÿ˜‚

Ni kweli ila truth nimechange soo far. Never going to dissappoint u
 
Hahaha why, why, why,
Yaani ni kama huwa unakuwa na shoti nikisogea kidogo tu unanichapa. Sasa mbona nimeonesha hadi emoji ya kucheka kuonesha nothing is serious? ๐Ÿ˜‚

Ni kweli ila truth nimechange soo far. Never going to dissappoint u
Safiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ