Katika hili, Mungu aende na Mh. Waziri kwa kishindo kikuu vile vile
 
Kwa nini mkutano kama huu hakuitisha kabla ya kusaini Mkataba??
Hakuna mkataba uliosaniniwa kwa sasa ila ni makubaliano tu ambayo yapo kwenye maandishi

Kilichotokea ni kwamba TUCHUKULIE MFANO kwamba wewe nyumbani kwako unafuga mbuzi, na mimi kwangu nafuga ng'ombe. Ikafikia mahali tukaamua mimi na wewe tushirikiane kuchunga mbuzi na ng'ombe zetu kwa zamu na hivyo vijana wetu wachungaji wakakutana na kuweka makubaliano hayo kwenye maandishi kwamba tutaKapokuwa tumeanza ushirikaino wetu, vijana wangu kutoka nyumbani kwangu MZEE A watakuwa wanachunga ng'ombe na mbuzi kwa wiki moja, halafu baada ya hapo wanachunga vijana wako wewe MZEE B

Hadi kufikia hapa MJI WA MZEE A ukawa umeweka maubaliano ya aina hii na MJI WA MZEE B ambayo yatakuja kutekelezwa baadaye

Muda ukishafika, wachungaji wenyewe sasa (tuseme MCHUNGAJI A KUTOKA MJI WA MZEE A na MCHUNGAJI B KUTOKA MJI WA MZEE B ) watasaini sasa mkataba wao wawili unaosema kuwa kuwa kila mmoja wao atakuwa anachunga mbuzi na ng'ombe kwa wiki moja, halafu baada ya hapo anachukua zamu mwingine

Kwa hiyo hadi hapa, WACHUNGAJI A NA B bado hawajasaini mkataba wowote, isispokuwa kuna makubaliano tu kati ya MIJI YA WAZEE WAO A NA B

Ikija kutokea tuseme muda wa kuweka mkataba kati ya wawili hawa ukafika halafu mmoja wao (MCHUNGAJI A AU MCHUNGAJI B) akawa hajaridhika, mkataba kati ya wachungaji hawa hautawekwa na hakuna mmoja wao atakayekwenda kushtaki mahakamani kwa sababu hapajawahi kuwepo mkataba kati yao, isipokuwa makubaliano tu kati ya KAYA/ MIJI ya wazazi wao

 
Kwa hiyo mapungufu kwenye makubaliano huyaoni? Na iweje makubaliano yasainiwe kabla yawadau kukubalina?
 
Kwa hiyo mapungufu kwenye makubaliano huyaoni? Na iweke makubaliano yasainiwe kabla yawadau kukubalina?
An agreement is not enforceable by law and, by the consent of the parties, it ca be ammended at any time

Tatizo lenu mnapewa kwenye mitandao extracts za vifungu vya kwenye mikataba mingine halafu manaambiwa kuwa ni vya agreeement kati ya DP WORLD na TPA. Mbona hili swala liko wazi sana na wala halihitaji mjadala wa nguvu kiasi hiki?
Halafu shida ni ni nini, ni sheria au ni Kiingereza cha kisheria?
 
Exactly! Hakuna kasumba mbaya kama dini. Hivi kweli watanganyika bado wanadanganyika na dini? Hawa wahuni kwa mgongo wa dini? Let us wait and see
 
Akitoka hapo akakutane na TLs akawajibu hoja zao.
Angalizo aje pekeake labda na Nape
 
Angeongea nao kabla angekuwa amefanya la maana.
 
Viongozi wa Dini nao lazima wajiridhishe.
 

Hivi hizi siasa hadi kwenye mambo ya msingi niza nini? Anasema hatuna vifaa vyakisasa..... kwani tusinunue?

Sawa hao DP wana uzoefu kwann wasije kufunga mitambo tukawalipa wakasepa alafu tukaendesha bandari wenyewe?

Kwamba sisi hatuna watu wenye uwezo wakuendesha bandari? Hawa viongozi vipi aisee hata hili limetushinda??

Ametaja makampuni kazaa yaliomba tenda iyo tenda walitangazia wapi?

Katiba mpya ni muhimu viongozi kama hawa ni wakuwala vichwa tu piga risasi hazarani,

Unaita mashehe na maaskofu ili iweje? Mikataba yote mnaingiaga huwa mnawaita au ni kwenye hili tu mnajaribu kushawishi nini? Na mnaogopa nini? Maana huu mkataba ni kama mnajua unachofanya kwa watz sio sawa mnajaribu kuruka ruka...... siku moja nitakuwa raisi wa hii nchi na niwahakikishie nitadili na nyie hata kama mtakuwa umekuwa vikongwe
 
Unajua watanzania tushakua wajinga. Haya kwa Nini hayakufanywa kabla ya kwenda huko Dubai na kusaini IGA na hizo MOU nyingine?
 
Hawa viongozi wa dini ni kundi lingine la madalali wanaotumika kuuza rasilimali za taifa wakitoka hapo wanapewa posho wakasambaze ujinga kwa waumini wao
 
Wasitupotezee muda bana, wawakikishi wetu huko bungeni wameshapitisha, hao viongozi wa dini ni nani?
Kazi yao ni kuvaa-vaa magauni meupe na kutafuta siti za mbele
 

Nilifikiri wangetafuta muwekezaji kwenye umeme maana tanesco wanashidwq au waruhusu makampuni ya umeme yawekeze tz.... ili kuleta ushindani na ndo tanesco wangeboresha huduma, nyie mumewaza bandari, pale ndo uchumi ulipo wa nchi lakini mmekaza kichwa, mnaumiza watz wenzenu.... haya mseme na mwanachi ananufaika vipi na hao waarabu? Nijuavyo hao jamaa wana roho mbaya vibaya sizani kama hapo bandari mtz ataishi kwa amani,

Alafu maipende kusema hata nchi fulani wanafanya kama sisi, sisi ni tanzania wakuu isiwe kitu mkifanya nyie ndo mnasema hata marekani waliwekeza hao DP no. Tunachotaka kujua ni mkataba wa muda gani wameingia na hao waarabu hili mbona hamsemi mnaruka ruka tu..... nyoosheni maelezo hapo
 
Asante kwa ufafanuzi.

Utaratibu wa kuanza kufanya hizo amendment mbona hautangazwi.? Haya mapungufu yaliyoonekana kwa Sasa , kwa nini yasiwe amended Sasa?
 
Baada ya kusaini mkataba ndo anaongea nao, haisaidii
 
wawadanganye wajinga wengi hii ni dunia nyingine kabisa hakuna jambo hata moja litakalojificha kwa namna yoyote ile tusubiri 2025 tukawashtaki kwa wanannchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…