EGO REAL ESTATE
Member
- Jun 25, 2024
- 81
- 80
- Thread starter
-
- #101
Madalali mnapandisha sana bei za viw
Opposite na hiyo petrol station ya tsn kuna bonde kubwa tu mbona ww umepost picha inayoonyesha papo tambarare
Dalali kafanya nini?yeye ndo amepandisha bei au?Kama hujui kitu uliza acha kuongea upuuzi wakoNi wapuuzi sana
Kabla hujaanza kuwachukia madalali chukia umaskini kwanza.Nawachukia san madalali
Mkuu wewe unajielewa na umenena kitu cha maana kwasababu hiyo bei iliyoko hapo haikupangwa na dalali ila mwenye eneo ndo ameweka hiyo bei watu wanalaumu dalali bila kujua ukweli ulivyo.Kwa upande wangu sioni ubaya wowote wa dalali ikiwa mnunuzi ataridhia mwenyewe pasipo kulazimishwa
Acha kukariri kama ni mteja kweli piga simu upelekwe siteOpposite na hiyo petrol station ya tsn kuna bonde kubwa tu mbona ww umepost picha inayoonyesha papo tambarare
Sio dalali anaepandisha bei dalali kazi yake ni kutoa taarifa wewe muhitaji una jukumu la kuuliza upate ufafanuzi wa hiyo taarifa,Madalali mnapandisha sana bei za viwanja.
Kila la kheri katika uuzaji wahovyo viwanja
Ndiyo uinunue mkuu ukapige rangi unayoitaka.Nikadhani ni ofsi ya zantel! Kwenye langi alibugi.