Plot4Sale Viwanja na Mashamba vinauzwa sehemu mbalimbali Dar na Pwani
Kwa upande wangu sioni ubaya wowote wa dalali ikiwa mnunuzi ataridhia mwenyewe pasipo kulazimishwa
Mkuu wewe unajielewa na umenena kitu cha maana kwasababu hiyo bei iliyoko hapo haikupangwa na dalali ila mwenye eneo ndo ameweka hiyo bei watu wanalaumu dalali bila kujua ukweli ulivyo.
 
Square mita moja 24,000 dah jamaaa mnapiga sana hela wakati nyie mumenunua heka milion 20 nyie mnauza heka milion 200
 
Nyumba/Banda linauzwa kibaha maili moja,sheli
Lina vyumba 3,vyumba viwili vimeshakamilika lina umeme
Mbele yake kuna fremu ndogo ya duka
Ukubwa wa eneo ni mita 15x20
Inapakana na barabara ya mtaa
Bei mln 10 maongezi kidogo yapo
Kwa unaetaka kuikimbia kodi na kuanza maisha ni bahati kwako
0675 065906
 

Attachments

  • 1721806210765889.mp4
    12.2 MB
KIWANJA KINAUZWA KIMARA BUCHA

KIWANJA KINA UKUBWA WA HEKARI 1 NA NUSU
BEI YAKE
SH.MILLION 150
MAONGEZI YAPO

KIWANJA KIPO TAMBARARE KABISA
HATI SAFI YA KIWANJA IPO

KIWANJA KIPO KIMARA (BUCHA) MATETE DK 12 KUTEMBEA KWA MIGUU KUTOKA BARABARA YA LAMI YA MOROGORO ROAD
0675 065906
 

Attachments

  • 1721822816938.jpg
    1721822816938.jpg
    327.4 KB · Views: 6
  • 1721822862064.jpg
    1721822862064.jpg
    330.8 KB · Views: 6
  • 1721822825262.jpg
    1721822825262.jpg
    342.3 KB · Views: 6
  • 1721822871534.jpg
    1721822871534.jpg
    342.3 KB · Views: 7
Nyumba nzuri inauzwa milioni 39 maongezi yapo
Ipo KIBAHA MAILIMOJA
Vyumba Vitatu vya Kulala
Master Bedroom
Sitting room
Dining room
Kitchen,store
Public toilet
Ukubwa wa kiwanja: sqmt 500
Ipo ndani ya fenc
Document Sales agreement (Hati ya mauziano ya selikali za mitaa)
Maji Dawasco umeme vyote vipo
Umbali KM2 tu kutoka barabara kuu ya lami ya morogoro road
0675 065906

1722260059274.jpg
1722260054642.jpg
1722260031158.jpg
1722260026227.jpg
1722260043822.jpg
1722260040809.jpg
 
Back
Top Bottom