kibaigwa finest
JF-Expert Member
- Oct 18, 2026
- 411
- 445
Looh.! TZ tusije kuwa habari ya mjini DunianiWhatever the case the situation is tense..!!!
Hamna kitui used to underestimate the power of novena prayer, but now i truly see its strength. wakatoliki sio watu wazuri. ogopa sana watu wanaamua kufunga kula kwa masiku kadhaa halafu kwa umoja wao, wanazama kwenye maombi ya kukushtakia kwa Mungu wao.
Huyu Mndengereko ni jirani yangu kimkoa sio Mnafiki, kasema kweli alichosahau ni kwamba Sio UVCCM tu pekee ndio Kuna rushwa ni CCM yote na hayo maumoja yao. Kwani yaliyokuwa yanafanyika kipindi wao kwa wao wanachaguana ndani ya chama kuelekea uchaguzi wanadhani yalikuwa ni SIRI..?Ukisoma hapa utaelewa kinachoendelea! Mama anakata moto wakati wowote.
Inaweza isiwe Adhabu, lakini Kifo chako kikawa Zawadi kwa wanaobaki. Hivyo watu hawajali juu ya kuwa utaumia ama laa, ila wanachofurahia ni ZAWADI ya kifo chako.😂😂,watu wako obbssessed sana na kifo,,in case hamjui kila mtu atakufa,na kufa siyo adhabu,kufa ni stage ambayo lazima tuipitie sote,,nduguzanguni wakristo wenzangu,hii obbssession na kifo,eti kwamba ukifa ni kama umepewa adhabu,itawatoka lini?😂,nyerere alikufa,ghandi alikufa,JFK alikufa,Bush alikufa,mkwawa alikufa,Yesu alikufa,nabii samwel alikufa,,kila mtu atakufa,hata Pengo aliedhani ataishi milele na akawa anamtukana mzee Ruxa kila siku naye alikufa,hata mzee Ruxa richa ya wema wake alikufa,Lowasa alikufa,,kila mtu atakufa,paskal mayala atakufa,kitima atakufa,lisu atakufa,,hata heche anaedhani ataishi milele atakufa😂🤗,so ni ujinga wa hali juu sana kuombea mtu afe ,ilihali hata wewe utakufa,,
Nyani ngabu mwenyewe original nasikia alishakufa na akazikwa huko kwao IGAGANULWA,huyu anaepost humu ni imposter,,huyu mayala nae ndo hivyo anazidi kusinyaa,means his shelf life iko ukingoni na anahitaji tumuombee😂🙆🏾♂️
Kama ni kweli kuna namna ntakua mkemia mzuri sana wa kumix vinywaji venue percentage tofauti tofauti.Paskali mbona unajizungusha na kuanzia mbali!?😂😂 Sema jambo hapa kesho niingie pori nikavute beberu 2 safii
Nilitoa maoni yangu humu humu kuwa huyu Mama Samia asigombee tena ile miaka 4.5 ilitosha kabisa kumpa maisha ya amani , furaha ,heshima na mwisho mwema wa kukumbukwa ....... lakini akusikia alidhani maisha ya amani atayapata kwakuwa anapesa na anauongozi , ona sasa Mama wa watu amepoteza furaha , amani , na zaidi atakumbukwa kama kiongozi aliyeondoka na damu ,vilio ,vilema na zaidi sifa mbaya kimataifa na kwa kila sifa mbaya ............kila alipo shauriwa hakusikia , kila walipopaza sauti yeye akusikia ,zaidi alipenda kuwasikiliza machawa na wale wanyonyaji wa taifa ( Jk ,Rostam nk ) bali wale wazalendo kama Warioba , Kitima ,Gwajima ,Tibaijuka ,nk aliwapuuza na zaidi alikuwa akiwajibu kwa dharau na vijembe vya taarabu ..........ona sasa hana furaha kabisa , hana nuru , hajiamini , kapoteza matumaini kwa wananchi wake .....kila siku ni maumivu tu wale machawa waliokuwa wanamsifia wote wamemkimbia kabakia Makonda tu
Kwa akili zako za kipimbi unafikir taarifa inawafikia watu wote at once?Palikua na amri ya kutotoka nje
So sad kukwambia kuwa bwana Pascal Mayalla ndiye aliyenimotivate kusoma course alizosoma yeye pia ni home boy na humu JF tokea 2011 maandiko yake mengi nimekuwa mfuatiliaji wake ukiachana na magazetini na huwa nakutana nae mara kadhaa kwenye utafutaji wangu Nina mengi ya kujifunza kwake. Itoshe tu kusema Mzee pasikali Kuna fungu analipigania kimya kimya na siku likitiki hizi nyuzi zake za sasa mtakuwa mnazisoma kimya kimyaKwa bahati mbaya humjui pascal sio mtu wa njaa...
Watoto Hawa hawana hatia iv hawakuona hata kimo?? cha mtu
Issue kama Ile mpaka swala Serengeti watasikiaKwa akili zako za kipimbi unafikir taarifa inawafikia watu wote at once?
Wewe una tatizo la akili sio bureIssue kama Ile mpaka swala Serengeti watasikia
Kagua akili yako, ndiyo huenda yenye shidaWewe una tatizo la akili sio bure
Hii inaonesha ni namna gan mnawaona walio chini yenu kama wanyama..btw ni suala la muda tu..hiz dharau mnazoonesha ipo siku zitawageukia ndo utaona ulichoandika hap ni ujingaKwa akili zako za kipimbi unafikir taarifa inawafikia watu wote at once?
Tanzania tupo watu 50m+, tangazo lilitolewa Oktoba 29, 2025 na Jeshi la Polisi, lilitangaza amri ya dharura ya kutotoka nje kuanzia saa 12 jioni katika Jiji la Dar es Salaam lenye watu approx 6m+.Issue kama Ile mpaka swala Serengeti watasikia