kuna kiongozi mmoja wa dini aliwauliza swali kuhusu hiyo ishu ya kuchanganya dini na siasa hamjamjibu hadi leo ,,swali lake aliwahoji mbona wanapojenga shule hamuwaatahadhirishi kuwa wanaiingilia serikali na wanachanganya elimu na dini ? Wanapojenga hospitali mbona hamuwatahadharishi wanaiingilia serikali kwa kuchanganya afya na dini na badala yake yanashangiliwa kama maendeleo ,,hoja hujibiwa kwa hoja na siyo kwenda kutafuta kichaka kisichoweza kukufichaNadhani waliosema dini isichanganywe na siasa hawakuwa wajinga.
Sio busara Wala haileti Afya Kwa viongozi wa Dini Kugeuka Wanasiasa Kwa kutumia majukwaa ya dini na kukificha kwenye dini.
Hawa viongozi wa Sasa wako wazi wazi wanaegemea Vyama na watu wao ,tukiendelea hivi ni hatari.
Niite wito Kwa Serikali kupiga marufuku viongozi wa Dini wanaofanya siasa wakijificha kwenye dini.
La sivyo wachague wawe Wanasiasa au wawe watu wa dini kabla hawajavuruga amani maana Kila mwenye dini atavutia kwake.
View: https://www.instagram.com/p/DJOcU8kK-hf/?igsh=NDE2N3p6NnFiZXZj
Swali gani? 👇👇kuna kiongozi mmoja wa dini aliwauliza swali kuhusu hiyo ishu ya kuchanganya dini na siasa hamjamjibu hadi leo ,,swali lake aliwahoji mbona wanapojenga shule hamuwaatahadhirishi kuwa wanaiingilia serikali na wanachanganya elimu na dini ? Wanapojenga hospitali mbona hamuwatahadharishi wanaiingilia serikali kwa kuchanganya afya na dini na badala yake yanashangiliwa kama maendeleo ,,hoja hujibiwa kwa hoja na siyo kwenda kutafuta kichaka kisichoweza kukuficha
Viongozi wa dini nao ni raia wa nchi hii na Wana haki ya kuilinda na kuitetea nchi Yao kama raia wengine.Viongozi wa dini katika madhebu mbalimbali nchini wameshauriwa wasiwe wanasiasa wala kuwa sehemu ya wachochezi kwa kuwa wao ni sehemu ya kimbilio pindi nchi inapokuwa katika changamoto.
Aidha, wamekumbushwa wajibu wa kuiombea Tanzania hususan katika mwaka huu wa uchaguzi mkuu.
Hayo yameelezwa na wachungaji kutoka Tanzania na Kenya wa Kanisa la Wadventista Wasabato walipokuwa wakihitimisha Wiki ya Uamsho iliyokuwa na maombi mbalimbali ikiwemo kuiombea amani, umoja na mshikamano wa taifa.
Wiki ya Uamsho imeandaliwa na Kwaya ya Gethsemane Group Kinondoni (GGK) kutokea Kanisa la Wadventista Wasabato Kinondoni Jijini Dar es Salaam ambapo katika maombi hayo pia wamewaalika wachungaji wa Kanisa hilo kutoka nchini Kenya.
Katibu wa Jimbo la Mashariki Kati mwa Tanzania wa Kanisa la Waadvestita Wasabato Tanzania Mchungaji Shashi Musa Wanna, amesema wamekuwa katika maombi kwa wiki nzima, pia wametumia nafasi hiyo kuwa na mahubiri pamoja.
“Tulikuwa na wiki ya uamsho wa kiroho katika kanisa letu lakini pia kuliombea taifa letu na wachungaji wenzetu kutoka Kenya ambao tulikuwa nao. Wenzetu wana uzoefu mkubwa wa mambo ya siasa yanayoendelea Kenya. Tumehimiza maombi na umuhimu wa amani katika nchi yetu.
Kwa upande wake Mhubiri kutoka Kenya, Mchungaji Patrick Muthee amesema katika zama hizi ambazo dunia imeharibika wakati mwingine makanisa na waumini wake wanajaribiwa huku akitahadharisha kuwa Kanisa linapoingia katika siasa ni changamoto kwa sababu roho ya Mungu inaondoka.
“Kazi ya Kanisa ni kuleta watu pamoja na tunatambua Mungu ndio huchagua viongozi sisi kama waumini Mungu anatutumia katika hali ile ya kupiga kura, lakini Mungu anajua njia iliyo bora. Hivyo Kanisa, viongozi, wachungaji na masheikh tuzungumze na waumini wetu," amesema.
Kwa upande wake Mchungaji Haruni Muturi wa Kanisa la Wadventista Wasabato kutoka Kenya, amesema katika wiki ya uamsho wametumia nafasi hiyo kujihoji myoyoni na kujitoa upya kwa Yesu Kristo kwa sababu wanajua kuna majaribu.
Source: Eatv
HW WAENDA KUZIMU CWZ KUWASILILIZA MAANA WANAJUA HAWAMTUMIKII KRISTO BL SHETANViongozi wa dini katika madhebu mbalimbali nchini wameshauriwa wasiwe wanasiasa wala kuwa sehemu ya wachochezi kwa kuwa wao ni sehemu ya kimbilio pindi nchi inapokuwa katika changamoto.
Aidha, wamekumbushwa wajibu wa kuiombea Tanzania hususan katika mwaka huu wa uchaguzi mkuu.
Hayo yameelezwa na wachungaji kutoka Tanzania na Kenya wa Kanisa la Wadventista Wasabato walipokuwa wakihitimisha Wiki ya Uamsho iliyokuwa na maombi mbalimbali ikiwemo kuiombea amani, umoja na mshikamano wa taifa.
Wiki ya Uamsho imeandaliwa na Kwaya ya Gethsemane Group Kinondoni (GGK) kutokea Kanisa la Wadventista Wasabato Kinondoni Jijini Dar es Salaam ambapo katika maombi hayo pia wamewaalika wachungaji wa Kanisa hilo kutoka nchini Kenya.
Katibu wa Jimbo la Mashariki Kati mwa Tanzania wa Kanisa la Waadvestita Wasabato Tanzania Mchungaji Shashi Musa Wanna, amesema wamekuwa katika maombi kwa wiki nzima, pia wametumia nafasi hiyo kuwa na mahubiri pamoja.
“Tulikuwa na wiki ya uamsho wa kiroho katika kanisa letu lakini pia kuliombea taifa letu na wachungaji wenzetu kutoka Kenya ambao tulikuwa nao. Wenzetu wana uzoefu mkubwa wa mambo ya siasa yanayoendelea Kenya. Tumehimiza maombi na umuhimu wa amani katika nchi yetu.
Kwa upande wake Mhubiri kutoka Kenya, Mchungaji Patrick Muthee amesema katika zama hizi ambazo dunia imeharibika wakati mwingine makanisa na waumini wake wanajaribiwa huku akitahadharisha kuwa Kanisa linapoingia katika siasa ni changamoto kwa sababu roho ya Mungu inaondoka.
“Kazi ya Kanisa ni kuleta watu pamoja na tunatambua Mungu ndio huchagua viongozi sisi kama waumini Mungu anatutumia katika hali ile ya kupiga kura, lakini Mungu anajua njia iliyo bora. Hivyo Kanisa, viongozi, wachungaji na masheikh tuzungumze na waumini wetu," amesema.
Kwa upande wake Mchungaji Haruni Muturi wa Kanisa la Wadventista Wasabato kutoka Kenya, amesema katika wiki ya uamsho wametumia nafasi hiyo kujihoji myoyoni na kujitoa upya kwa Yesu Kristo kwa sababu wanajua kuna majaribu.
Source: Eatv
Hawa hupenda kwenda kinyume na RC, nafikiri wametumia akili hizo hizo baada ya kuoa uelekeo wa RC wao wameenda kushoto bila kujali RC wanasiamamia niniWasabato hamnazo hao bora wangekaa kimya tuelewe wapo kimya mazima.
Wasabato sio wakristo ni mabaki ya wayahudi wa kale.Viongozi wa dini katika madhebu mbalimbali nchini wameshauriwa wasiwe wanasiasa wala kuwa sehemu ya wachochezi kwa kuwa wao ni sehemu ya kimbilio pindi nchi inapokuwa katika changamoto.
Aidha, wamekumbushwa wajibu wa kuiombea Tanzania hususan katika mwaka huu wa uchaguzi mkuu.
Hayo yameelezwa na wachungaji kutoka Tanzania na Kenya wa Kanisa la Wadventista Wasabato walipokuwa wakihitimisha Wiki ya Uamsho iliyokuwa na maombi mbalimbali ikiwemo kuiombea amani, umoja na mshikamano wa taifa.
Wiki ya Uamsho imeandaliwa na Kwaya ya Gethsemane Group Kinondoni (GGK) kutokea Kanisa la Wadventista Wasabato Kinondoni Jijini Dar es Salaam ambapo katika maombi hayo pia wamewaalika wachungaji wa Kanisa hilo kutoka nchini Kenya.
Katibu wa Jimbo la Mashariki Kati mwa Tanzania wa Kanisa la Waadvestita Wasabato Tanzania Mchungaji Shashi Musa Wanna, amesema wamekuwa katika maombi kwa wiki nzima, pia wametumia nafasi hiyo kuwa na mahubiri pamoja.
“Tulikuwa na wiki ya uamsho wa kiroho katika kanisa letu lakini pia kuliombea taifa letu na wachungaji wenzetu kutoka Kenya ambao tulikuwa nao. Wenzetu wana uzoefu mkubwa wa mambo ya siasa yanayoendelea Kenya. Tumehimiza maombi na umuhimu wa amani katika nchi yetu.
Kwa upande wake Mhubiri kutoka Kenya, Mchungaji Patrick Muthee amesema katika zama hizi ambazo dunia imeharibika wakati mwingine makanisa na waumini wake wanajaribiwa huku akitahadharisha kuwa Kanisa linapoingia katika siasa ni changamoto kwa sababu roho ya Mungu inaondoka.
“Kazi ya Kanisa ni kuleta watu pamoja na tunatambua Mungu ndio huchagua viongozi sisi kama waumini Mungu anatutumia katika hali ile ya kupiga kura, lakini Mungu anajua njia iliyo bora. Hivyo Kanisa, viongozi, wachungaji na masheikh tuzungumze na waumini wetu," amesema.
Kwa upande wake Mchungaji Haruni Muturi wa Kanisa la Wadventista Wasabato kutoka Kenya, amesema katika wiki ya uamsho wametumia nafasi hiyo kujihoji myoyoni na kujitoa upya kwa Yesu Kristo kwa sababu wanajua kuna majaribu.
Source: Eatv
Je amesema kawa wawe chawa badala yake au?Viongozi wa dini katika madhebu mbalimbali nchini wameshauriwa wasiwe wanasiasa wala kuwa sehemu ya wachochezi kwa kuwa wao ni sehemu ya kimbilio pindi nchi inapokuwa katika changamoto.
Aidha, wamekumbushwa wajibu wa kuiombea Tanzania hususan katika mwaka huu wa uchaguzi mkuu.
Hayo yameelezwa na wachungaji kutoka Tanzania na Kenya wa Kanisa la Wadventista Wasabato walipokuwa wakihitimisha Wiki ya Uamsho iliyokuwa na maombi mbalimbali ikiwemo kuiombea amani, umoja na mshikamano wa taifa.
Wiki ya Uamsho imeandaliwa na Kwaya ya Gethsemane Group Kinondoni (GGK) kutokea Kanisa la Wadventista Wasabato Kinondoni Jijini Dar es Salaam ambapo katika maombi hayo pia wamewaalika wachungaji wa Kanisa hilo kutoka nchini Kenya.
Katibu wa Jimbo la Mashariki Kati mwa Tanzania wa Kanisa la Waadvestita Wasabato Tanzania Mchungaji Shashi Musa Wanna, amesema wamekuwa katika maombi kwa wiki nzima, pia wametumia nafasi hiyo kuwa na mahubiri pamoja.
“Tulikuwa na wiki ya uamsho wa kiroho katika kanisa letu lakini pia kuliombea taifa letu na wachungaji wenzetu kutoka Kenya ambao tulikuwa nao. Wenzetu wana uzoefu mkubwa wa mambo ya siasa yanayoendelea Kenya. Tumehimiza maombi na umuhimu wa amani katika nchi yetu.
Kwa upande wake Mhubiri kutoka Kenya, Mchungaji Patrick Muthee amesema katika zama hizi ambazo dunia imeharibika wakati mwingine makanisa na waumini wake wanajaribiwa huku akitahadharisha kuwa Kanisa linapoingia katika siasa ni changamoto kwa sababu roho ya Mungu inaondoka.
“Kazi ya Kanisa ni kuleta watu pamoja na tunatambua Mungu ndio huchagua viongozi sisi kama waumini Mungu anatutumia katika hali ile ya kupiga kura, lakini Mungu anajua njia iliyo bora. Hivyo Kanisa, viongozi, wachungaji na masheikh tuzungumze na waumini wetu," amesema.
Kwa upande wake Mchungaji Haruni Muturi wa Kanisa la Wadventista Wasabato kutoka Kenya, amesema katika wiki ya uamsho wametumia nafasi hiyo kujihoji myoyoni na kujitoa upya kwa Yesu Kristo kwa sababu wanajua kuna majaribu.
Source: Eatv
Wasabato huwa wanamtindio wa ubongo,siasa ndio maisha ya waumini wenu..mnajitenga vipi na siasa wakati kila uchwao mnalalamika viongozi kupanga ratiba na matukio siku ya sabato.Viongozi wa dini katika madhebu mbalimbali nchini wameshauriwa wasiwe wanasiasa wala kuwa sehemu ya wachochezi kwa kuwa wao ni sehemu ya kimbilio pindi nchi inapokuwa katika changamoto.
Aidha, wamekumbushwa wajibu wa kuiombea Tanzania hususan katika mwaka huu wa uchaguzi mkuu.
Hayo yameelezwa na wachungaji kutoka Tanzania na Kenya wa Kanisa la Wadventista Wasabato walipokuwa wakihitimisha Wiki ya Uamsho iliyokuwa na maombi mbalimbali ikiwemo kuiombea amani, umoja na mshikamano wa taifa.
Wiki ya Uamsho imeandaliwa na Kwaya ya Gethsemane Group Kinondoni (GGK) kutokea Kanisa la Wadventista Wasabato Kinondoni Jijini Dar es Salaam ambapo katika maombi hayo pia wamewaalika wachungaji wa Kanisa hilo kutoka nchini Kenya.
Katibu wa Jimbo la Mashariki Kati mwa Tanzania wa Kanisa la Waadvestita Wasabato Tanzania Mchungaji Shashi Musa Wanna, amesema wamekuwa katika maombi kwa wiki nzima, pia wametumia nafasi hiyo kuwa na mahubiri pamoja.
“Tulikuwa na wiki ya uamsho wa kiroho katika kanisa letu lakini pia kuliombea taifa letu na wachungaji wenzetu kutoka Kenya ambao tulikuwa nao. Wenzetu wana uzoefu mkubwa wa mambo ya siasa yanayoendelea Kenya. Tumehimiza maombi na umuhimu wa amani katika nchi yetu.
Kwa upande wake Mhubiri kutoka Kenya, Mchungaji Patrick Muthee amesema katika zama hizi ambazo dunia imeharibika wakati mwingine makanisa na waumini wake wanajaribiwa huku akitahadharisha kuwa Kanisa linapoingia katika siasa ni changamoto kwa sababu roho ya Mungu inaondoka.
“Kazi ya Kanisa ni kuleta watu pamoja na tunatambua Mungu ndio huchagua viongozi sisi kama waumini Mungu anatutumia katika hali ile ya kupiga kura, lakini Mungu anajua njia iliyo bora. Hivyo Kanisa, viongozi, wachungaji na masheikh tuzungumze na waumini wetu," amesema.
Kwa upande wake Mchungaji Haruni Muturi wa Kanisa la Wadventista Wasabato kutoka Kenya, amesema katika wiki ya uamsho wametumia nafasi hiyo kujihoji myoyoni na kujitoa upya kwa Yesu Kristo kwa sababu wanajua kuna majaribu.
Source: Eatv
Hakuna kanisa hapo, wanampiga hata Yesu mwenyewe hawajui alizaliwa lini wala wapi?Ni heri kukaa kimya ,kuliko kuongea mambo kama kipindi ambapo kuna upepo wa maumivu ambao wengine wanapitia. Kingine hawa wachungaji ninacho kiona sio msimamo wa
kanisa bali kuna wajanja kutoka upande mwingine wanawatumia kwa maslahi yao kisiasa.
Ndugu ktk imaniHivi kuna tofauti yoyote kati ya BAKWATA na Sabato?
Viongozi wa dini katika madhebu mbalimbali nchini wameshauriwa wasiwe wanasiasa wala kuwa sehemu ya wachochezi kwa kuwa wao ni sehemu ya kimbilio pindi nchi inapokuwa katika changamoto.