Yule ana usajili wa USA baby!!! Kumtoa kule sio kienyeji kama ambavyo unaweza piga simu hakimu Kisutu ili aliekushtaki ageuziwe kibao ๐na kufungwa yeye.Hivi mtu akiwa nchi nyingine ni ngumu kumkamata aseee !! Mfano Mange angekua kwenye hizi nchi za Africa au Huko Latin America !! Marais wangeshapigiana simu kitambo sana๐๐๐ mtoto analetwa hapa mbichi kabisa magogoni !!
Kweli Marekani demokrasia ipo
Wewe hapo unapata raha gani? Watanzania tumejaa ujinga mwingi.Mange 5 Chawa 0
Kwetu raha tu
Hahahahaha wanahisi uhuni wanaoufanya huku umatumbini wa risasi ilipaa hewani ikamdondokea marehemu na kesi inaishia hivyo itawezekana kwa watu wenye akili na intelijensia. Kwanza Mange yuko kwenye hotspot muda wote anafuatiliwa na security za USA.Haina uwezo wa kufanya lolote, nenda Marekani mvizie Mange shoot lakini hutotoka Marekani I promise you.
Ameshindwa kuachia ya yule wa utalii hii hatawezaAkiachia mzigo tu itakuwa imeisha hio!!!
Yani Tanzania nchi ya kipumbavu Sana, imagine mpaka changudowa anaweza kumblack mail Rais.Aiweke wakati yeye anatafuta mkwanja, hapo anatikisa asainiwe cheque ya dollar 500,000 atulie tuli.๐
Alifanya hivyo ataishia alipo ishia MagufuliKwa watu Kama nyie ilitakiwa huyu mama aturudishe kwenye zile moments za kimagufuli yaani tuifeel Ile pinch
Watanzania ukitaka kuwaweza display all presidential Powers akiendelea kucheka ๐๐ watamiharibia
Hii iwekwe kama rejea ya double standards zao.Kumbuka wanaharakati wanakuangalia umegusa upande wao!
Ni akili kiasi inahitajika then binti atajikuta Airport Dar hapo. Maneuver kiasi tuu wala sio sana.Yule ana usajili wa USA baby!!! Kumtoa kule sio kienyeji kama ambavyo unaweza piga simu hakimu Kisutu ili aliekushtaki ageuziwe kibao ๐na kufungwa yeye.
Matusi au Kashfa ni mbaya kwa kila Binadamu sio kwa Viongozi pekee. !!Kwa uzoefu wangu viongozi wengi ni watu waliopitia mateso makali nyakati za utotoni.yaani ukifuatilia utakuta waliwahi kunyanyaswa na wazazi au walezi kwa namna flani lakini kwa baraka za Mungu waliweza kuvumilia mateso hayo na hatimaye wakaibuka kuwa wasemaji na watetezi wa hali zisizo na usawa katika jamii.
Aghalabu niseme kuwa viongozi wetu wengi wa sasa walipita hali hiyo ngumu maishani japo kwa sasa tutaanza kuona viongozi artificial wanaoandaliwa toka utotoni.
Kwa muktadha huu sio jambo jema kuwadhalilisha kwa matusi ya nguoni kwani kwa kufanya kunaibua machungu waliyopita awali.
#Hoja kuntu#
Wale wanaoitwa wanaharakati wanafurahia mwenendo huu? Mbona siwasikii katika masakata ya kuwatusi viongozi??
Kama wamekaa kimya sasa basi wakae kimya pale hatua kali na fundisho zitakapochukuliwa na viongozi wanaoumizwa.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
We wanachojali ni matumbo yao kukugeuka ni dakika sifuriHayo ndio madhara ya mama kukumbatia machawa, dakika mbili machawa hao hao wanaweza kusimama kinyume na mama.
Kimambi alikuwa ni chawa wa mama leo ndio huyo anamvua nguo mama.
Kiongozi wa upinzani akamatwe kwa kosa gani?Ok, so mnasubiri kiongozi wa upinzani akamatwe ndio muanze kupiga kelele za uana harakati ๐๐๐
Raha isiyoelezeka kama ya kufikishwa kileleni,mara ya mwisho we ilikuwa lini?we hujawahi maana una makasirikoWewe hapo unapata raha gani? Watanzania tumejaa ujinga mwingi.
You must be a lady, hizi ni tabia hasa za wanawake. Kama ni Me basi tuna hasara.Raha isiyoelezeka kama ya kufikishwa kileleni,mara ya mwisho we ilikuwa lini?we hujawahi maana una makasiriko
Kwetu raha
Wanaharakati wapi unawazungumzia na kuwatambua leo? Si walishanunuliwa na mabeberu?Kwa uzoefu wangu viongozi wengi ni watu waliopitia mateso makali nyakati za utotoni.yaani ukifuatilia utakuta waliwahi kunyanyaswa na wazazi au walezi kwa namna flani lakini kwa baraka za Mungu waliweza kuvumilia mateso hayo na hatimaye wakaibuka kuwa wasemaji na watetezi wa hali zisizo na usawa katika jamii.
Aghalabu niseme kuwa viongozi wetu wengi wa sasa walipita hali hiyo ngumu maishani japo kwa sasa tutaanza kuona viongozi artificial wanaoandaliwa toka utotoni.
Kwa muktadha huu sio jambo jema kuwadhalilisha kwa matusi ya nguoni kwani kwa kufanya kunaibua machungu waliyopita awali.
#Hoja kuntu#
Wale wanaoitwa wanaharakati wanafurahia mwenendo huu? Mbona siwasikii katika masakata ya kuwatusi viongozi??
Kama wamekaa kimya sasa basi wakae kimya pale hatua kali na fundisho zitakapochukuliwa na viongozi wanaoumizwa.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Umedhihirisha wazi we ni mwanaume ambae hujawahi kumfikisha mkeo kilele hujui unambaka tuYou must be a lady, hizi ni tabia hasa za wanawake. Kama ni Me basi tuna hasara.
Yani wamekimbia kupost picha tu hakika wamepanic mno mnoChawa wamepigwa Rungu spray wote chalii๐
Sawa mkuu!Umedhihirisha wazi we ni mwanaume ambae hujawahi kumfikisha mkeo kilele hujui unambaka tu
Aliekwambia wanaume hawafiki kileleni nani?ยฟ
Kwani wewe utaishi milele?Alifanya hivyo ataishia alipo ishia Magufuli