Wanajeshi kwa waliohusika na tukio hili wawajibishwe
Hata tunapovamiwa na majambazi si nadra kushindwa kujitetea wenyewe.

Na katiba mpya tutawakataa wahuni wote.
Kwa wakati huu ambapo hakuna katiba mpya, jamaa alishindwa nini kuendelea na safari, anasimamishwa naye anasimama, hao ni trafiki au aliogopa magwanda?

Nyie wananchi punguzeni kuwa-overate hao jamaa ambao ni iron boys and girls.
 
Hii Tabia ya kuonea raia kisa tu ofisa wa usalama wa Taifa kakwaruzana na waendesha magari barabarani inatoka wapi?
Hii inaonyesha kuwa tuna Usalama wa Taifa incompentent, wasiojua kazi zao, ambao wanatumia nafasi zao kuonea watu.

Ni wapi katika majukumu ya usalama wa Taifa, Usalama wa Taifa unafanya kazi za Trafiki barabarani?

Leo hii ofisi na premise za usalama wa Taifa zinaenda kutumika kama parking ya kukamatia raia eti kisa raia kakwaruzana na ofisa mmoja huko barabarani ni ushamba wa hali ya juu na ni kuipaka Idara matope.

Tunataka Idara ya Usalama wa Taifa TISS imchukulie hatua za kinidhamu huyo ofisa anayeonekana kuleta kiburi kwa kutumia kazi yake kuonea watu.

Kibaya zaidi anaamrisha raia anyang'anywe simu yake bila search warrant au bila kufuata sheria za kipolisi, huu kama siyo ujambazi ni nini.

Huu utovu wa nidhamu ukomeshwe mara moja, hatutaki usalama wa Taifa unaoendeshwa kihuni.

View attachment 2182358
Ukimuoma mtu wa idara anajitambulisha au kutambulishwa pasipo sababu juwa hapo ipo shida. Na inatakiwa hatua kali ikiwemo kuondolewa ktk idara. End
 
Back
Top Bottom