Wanajeshi kwa waliohusika na tukio hili wawajibishwe

Jamaa ni mjinga,anakua kama watu wa zamani ambao walikua na hofu na hao wa kwenda Congo na visiwa vya Comoro.

Wewe ndiyo huyo mwenye hii kadhia ndugu?

Ukinusurika hili usiache kwenda kutoa kafara.
 
Combats tokea upande wa pili na bunduki hakuwa na namna.

Makosa aliyofanya ni pamoja na kuendelea kuifuata kwa nyuma gari ile. Kusubiri nyuma hata iliposimama. Yote akiamini hana makosa.
Najua hawapendi nzi.....
Najua hawawezi shoot yeye sio muhalifu.
Ni bora usababishe jam, ila sio uingie Ndani kwao.
Japo inaonekana Huyu Dogo ( nahisi ni kijana mdogo) alikuwa na makosa.....
Na ana kiburi chake binafsi cha hadi ya familia aliyotoka.
 
Kuchomekeana barabarani kwa sehemu za majiji ni kawaida sana, hakuna asiyechomekea, maanake dereva wa gari dogo amefanya tatizo kuwa tatizo kubwa, na hata kukamatwa kwake huenda kulitokana na ubishi wa kijinga tu wa kutaka kupambana achana na wanajeshi.
 
Huyo dada mwenye kombati alivyo mpuuzi badala ya kumtajia kosa lake anamwambia chuchumaa.
Unatakiwa kumwambia kama yupo under arrest na kosa alilofanya,na wewe unayemkamata ujitambulishe na uoneshe kitambulisho
Watu wengi ni forgery siku hizi,kuvaa kombati haitoshi.
Halafu huyo dogo naye ni shida pia.Eti nitatoka tu mjomba angu ni mbunge!!!
 
Wanajua ushahidi wa kweli utawaumbua.

Wanalinda usalama wa nani watu wa namna hii?

Hawa hawatufai asilani.

Ni muhimu hatima ya kadhia hii ikawekwa wazi.
Ongezea nini kiliendelea na jamaa aliishia wapi
 
Back
Top Bottom