Kwa wakati huu ambapo hakuna katiba mpya, jamaa alishindwa nini kuendelea na safari, anasimamishwa naye anasimama, hao ni trafiki au aliogopa magwanda?

Nyie wananchi punguzeni kuwa-overate hao jamaa ambao ni iron boys and girls.
Hata mimi nashangaa, mtu sio trafiki, kavaa kiraia, anakusimamisha na kukuamrisha eti paki pale, na hajaonuesha kitambulisho kwamba yeye ni askari , sepa zako, breki ya kwanza kituo cha polisi, na ndugu unakua umeshawajulisha wakukute huko
 
Kuna kibao, bango au alama yoyote inayoonyesha hapo ni Usalama wa Taifa?
Hiyo kesi akipewa wakili msomi Mtobesya inaisha saa nne asubuhi siku ya kwanza tu.
Unarekodi maeneo ya Usalama?
Au hakujua kama hapo ni Usalama wa taifa?

Anyway alivyowaona hao wanajeshi kwanini asingezima kamera yake?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Mwenzake anamsihi aoembe msamaha tu[emoji1787].
Bogo bado sana kwenye suala la kutambua haki za kiraia.
Hata mimi nashangaa, mtu sio trafiki, kavaa kiraia, anakusimamisha na kukuamrisha eti paki pale, na hajaonuesha kitambulisho kwamba yeye ni askari , sepa zako, breki ya kwanza kituo cha polisi, na ndugu unakua umeshawajulisha wakukute huko
 
Hivi nahisi ingekuwaje au kingetokea nini kama huyu jamaa angekuwa mjeda yupo full battle in dressing?
 
Kama ni TISS atakuwa ameijiexpose kizembe sana
Kama ni MAN IN BLACK atakuwa ameijiexpose kizembe sana na hii ni dalili za ukosefu wa maadili pamoja na ulimbukeni uliotukuka.
 
Wapi mtu kajitambulisha kuwa ni wa idara?

Sasa katumia muujiza gani mpaka kumfanya dogo akapaki gari pembeni bila ya yeye kujitambulisha kwa alama yoyote ile?
Hapa Tanzania waalimu huwa wanamiliki hizo bunduki wakiwa wamevalia mabakamabaka?
 
Hawa hawajuhi kazi yao,hata kama huyo jamaa ana makosa,ilibidi wamtafute kimya kimya,maana wao hizo mbinu wanazo,
 
Wafanyavyo sio haki, hayo huwa yanafanywa na wanajeshi tena kama wapo kwenye operation maalum, ingawa sio sheria hawa wengine wanawaiga utukutu wa jeshi
 
".....waombe msamaha yaishe"
Mambo km haya hutokea sana barabarani,ni km sheria za barabarani haziyahusu majeshi yetu au baadhi ya watendaji wa majeshi,kadhia hii hupelekea uonevu(kipigo/kusekwa ndani) kwa wananchi wanyonge.
Japo clip imeanzia kati hatuoni mwanzo nani kamkosea mwenzie,na hatujui nini kilifuata baada ya purukushani ya kunyang'anyana simu,ila si busara kwa watendaji hawa ambao tunsamini wanazijua vzur sheria na taratibu kuamua mambo kimtaani mtaani(kujichukulia sheria mkononi)
".....kaka yangu mbunge atakuja kunitoa"
Hii nchi tusio na koneksheni tunanyanyasika,lolote litakalokupa litakua jepesi km una koneksheni[emoji2][emoji2]
 
Deni la wali nyama 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Huyo ni maskini wa kutupwa.
 
Andiko limeanzia hewani, hujaeleza kilichotokea ila umekuja na conclusion
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…