donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Hakuna eneo nyeti TZ hii kama nyumbani kwa mzee mwambapa pale makabe kwa lipelanyaNa bado video imetufikia walimwengu huku mitandaoni. Sasa sijui wanalinda nini hawa viazi?
Pale whitehouse, kuna hadi museum watu wanaingia kutalii. Hawa viazi wenyewe bado wanakomalia raia wasipige picha eti "maeneo nyeti", nyeti my foot. Kuna eneo nyeti hapo makumbusho kushinda white house? Kuna maeneo nyeti kushinda ofisi za CIA pale Langley?
Hawa vijana wa UVCCM wanachoweza ni kukimbizana tu na wananchi ambao hawana madhara wala hatia. Maana wamejazana hapo sababu ya kadi zao za chama, Ila uweledi ni sifuri!
United states of America.Mfano nchi ipi?
Old Stone age!Hayo ni maisha ya zama za mawe za kale, watu wanapiga picha nje ya white house, hapo kwenu kuna kitu gani kipya kisichojulikana duniani?
Well, amepiga picha/video, mwanausalama mwenye maadili angechukua hiyo simu na kudelete video husika na kumuonya asirudie hilo kosa, Tafrani yote hiyo iliyotokea ni ya nini? Maguvu mengi utadhani mnakamata gaidi. Wakati Hamza amekuja na mabunduki mbona hamkujitokeza.
Halafu wewe tunakudai yuko wapi Ben Saanane?
Hili ndio tatizo lako lingine, unahisi Google imeshushwa na Mungu?Kutokujua kwako maana ya neno "jeshi" should that be our problem?
Pole lakini. Neno "jeshi" ni kiswahili. Google au tafuta kamusi.
Utachekwa, ila siseme yaliomo, hao wote mara kumi ya hao Mgambo wana sifa na elements za kijeshi.Bora warudishe JKT na mgambo ndio Watanzania wataelewa maana ya Jeshi, wengi wanadharau mgambo Polisi,TISS, Magereza, wakati ndio kikosi cha Askari wa miguu (infantryman)
That was not rightKwa wakati huu ambapo hakuna katiba mpya, jamaa alishindwa nini kuendelea na safari, anasimamishwa naye anasimama, hao ni trafiki au aliogopa magwanda?
Nyie wananchi punguzeni kuwa-overate hao jamaa ambao ni iron boys and girls.
Kijana ganiTukimaliza yote jmn,kijana anaendeleaje huko mloganzila?
Muhimu kujua maendeleo ya afya ya kijana.
Huyo TISS feki. Tunao wajua hawana tabia hizo. Kwanza ni kinyume na taratibu za idara.Kuna fala mmoja huwa anajifanya au sijui ndio security wa Taifa kweli!!!? Nilikuwa nasikia sana tabia zake za kuwa akikutaa bar unakunywa na yeye anaagiza kama uvyokunywa wewe kisha anasema utalipa wewe,.
Bahati nzuri mimi sinywi ila nikasema hasirogwe kuingia katika anga zangu za aina yoyote hile.
Siku moja nikaenda bar na rafiki yangu mmoja alikuwa ananywa zake bia mimi nikiwa nakunywa sparletar yangu mara jamaa kaja na kama kawaida yake siku hiyo akafikia kwenye point yetu. Akatusalimia akaenda counter kaagiza na yeye bia zake kama za jamaa yangu na kumwambia counter kuwa watalipa wale pale akituonesha sisi.
Baada ya sisi kumaliza yetu tukaomba bill ilipoletwa tukaona bill imekuja mara dufu, nilipooliza tukajibiwa kuwa na pombe zile pale. Mimi nikamwambia sisi hatumfahamu alipe mwenyewe, baada ya hapo jamaa si akaja akatuuliza kwa nini hatutaki kunilipia?
Nikamuuliza tukulipie wewe una tatizo gani? Nae akatuuliza kwani nyinyi hamnifahamu, na Mimi nikamuuliza "sisi unatufahamu?" Nikamwambia ondoka kabla sijakushia dhahama, wakati huo watu wametunguka wakisilizia. Naona kaondoka uku akisema "mtanijua tu"
Juzi nimekutanae barabarani nashangaa kanisalimia bro za ziku?
Nikajifanya sikumsikia.
AiseeHawa ni vijana wa TISS kutoka JKT tatizo hawajui sheria na misingi ya kazi sambamba na elimu zao ndogo
Ni kweli, ispokuwa mwl. Hawezi kumkamata mwalifu halafu akampeleka shuleni au daktari kumpeleka mwalifu hospitali ila atampeleka kituo Cha polisi.Sheria inaruhusu mtu yeyote kufanya arresting!
Hata wewe unaweza kumu arrest muhalifu akifanya kosa
Wakati huo wewe Sasa ungetuwekea hiyo clip akiwachomekea wajeda.Kwa nini hakurekodi wakati anachomekewa?
Kwa nini uamini maneno yake wakati hujaona akiwa anachomekewa?
Kenge amekaa hovyo sana!!! kenge asiye na mkia ndio mbovu kabisa umemchapa tusi kali sana huyo kenge!Kenge usiye na mkia hutonielewa kaa kimya
Pumbavu kabisa hawa jamaaUnyanyasaji huu wa vyombo vya dola haukubaliki.
View attachment 2182373
Kwanini sheria za nchi zilizopo hazifuatwi?
Kwa hakika tuungane kuukataa ubazazi wa namna hii.
Mbona unatetea sana!!!Nimesikiliza na kuangalia clip yote sijaona sehemu imetamkwa unajua Mimi nani?