Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂🤣😅😆😁😄😃😀Alafu huyo ni dereva tu....
Check And BalanceUthibitisho kuwa hakuwa na makosa na anaonewa
Anarembua mijicho tu huku akicheua uji wa futari ya magimbi.Lady gaga anamaoni gani kuhusu tukio hili?
Wangesumbua traffic bure manake tayari walishahama eneo la tukio scene of crime/loqus in quo......Wangesimama hapo waite askari wa barabarani kweli tungeona kuna haki inataka kutendeka. Lakini mtuhumiwa kuanza kutumia mamlaka yake inaleta walakini mwingi. Kurekodi tukio hakuna sheria inayokataza.
Hii scene isingetokea wakati wa Magu.....Zile enzi za 'unanijua mimi nani' zimerudi upyaaaa
Duuh! ama!Tiss wana mambo mengi ya kufanya sio kudeal na vitu kama hivi,it seem kwa mtindo huu kuna wengi sana wanaofanyiwa ujinga kama huu coz mtu yeye mtu flan basi anajiona anaweza kufanya lolote,hao jamaa wawajibishwe ikiwezekana wahamishiwe jeshi la zima moto huko ili wawe mfano kwa wengine,tiss unadeal kukamata gari while hujui watu wanapitisha vipi magendo airport na vipi watu wanakwepa kodi!wanaidhalilisha tiss kwa ujinga wao
Watakuambia usalama wa barabara ni subset ya ule wa taifaNi wapi katika majukumu ya usalama wa Taifa, Usalama wa Taifa unafanya kazi za Trafiki barabarani?
Teh! Teh! Teh! Kumbe nae huwa ana close. Lakini na wasi wasi atakuwa anashinda tu njaa.Anarembua mijicho tu huku akicheua uji wa futari ya magimbi.
Hili ndio tatizo lako lingine, unahisi Google imeshushwa na Mungu?
Very simple, Kuna soldier, police (man) officer, militias, immigration officer etc, maneno mengi ya Google yameingizwa na vizazi vipya kama nyie, mfano wa haya nimeyaona hata kwenye utunzi wa vitabu vya hasa shule ya msingi vilivyotungwa na kampuni ya yule jamaa wa kanda ya ziwa.
Bora warudishe JKT na mgambo ndio Watanzania wataelewa maana ya Jeshi, wengi wanadharau mgambo Polisi,TISS, Magereza, wakati ndio kikosi cha Askari wa miguu (infantryman)
Maana yake?kwenye maisha wanasemaga wazaramo Rule no 1 Dont be a hero..
Kupiga picha maeneo ya usalama.
Kuna maeneo kisheria huwezi kupiga picha.
Mfano; Vituo vya Polisi +majeshi yote.
Bank n.k
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Maswali ya kijinga hayo. Kule ni kujimwambafai kijinga.Kwa nini hakurekodi wakati anachomekewa?
Kwa nini uamini maneno yake wakati hujaona akiwa anachomekewa?
Mama mwezi huu sijaona utoke naona unawatuma wakuwakilishe tu wewe umepumzika kdg.Maswali ya kijinga hayo. Kule ni kujimwambafai kijinga.
Utakuta lile jamaa limeshakunywaa za mchana, maana hata mwili wake unaonesha umevimbishwa kwa nguruwe na K vant.
Maswali ya kijinga hayo. Kule ni kujimwambafai kijinga.
Utakuta lile jamaa limeshakunywaa za mchana, maana hata mwili wake unaonesha umevimbishwa kwa nguruwe na K vant.
Mpaka video hii inakwenda viral, dogo yupo salama na ameshatoka mikononi mwa watesi wake.